Luca Paguro
JF-Expert Member
- Mar 26, 2023
- 502
- 1,141
- Thread starter
- #21
Hivi kwa nini unapinga sana kuhusu maandamano na ukosoaji wa serikali, nimekuona kwenye thread nyingi, hili suala hulifurahii kabisaNi Ugonjwa wa likes na comments unawasumbua ndo walewale mwenzao aliepigwa virungu mahakamani wakamkimbia