The Magnifico
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 431
- 1,594
Nimeamka leo asubuhi VPN yangu ikawa imejizima nilipolala. Kabla sijaiwasha kwa bahati mbaya nikawa nimebonyeza notification moja ya Twitter. Heeeh, cha kushangaza ikafunguka, narudi nyuma na kurefresh TL yangu nashangaa kila kitu kinafanya kazi bila shida.
Nikaingia Tiktok nako vilevile, kila kitu kiko shwaaari. Inafunguka bila VPN wakati jana tu ilikuwa hautoboi bila hiyo kitu.
Nikajaribu kuingia sites za mapilau, napo pako free, unaserereka tu.
Nikasema kama wameachia hizi social medias na restricted sites basi watakuwa wameziachia na VPN zetu pendwa. Kweli bwana, nimeenda kujaribu kuconnect imekubali haraka bila shida wakati hapo nyuma ilikuwa imeshafungiwa!
Ila habari mbaya ni kwamba JamiiForums bado iko kifungoni na bila VPN hauipati.
NB: Binafsi sina trust tena, kwa mambo yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika huenda wameachia for their own purposes. Huenda wana malengo yao meusi!