The Magnifico
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 431
- 1,594
Nani alikuwa aefungia VPN? 😁Mbona vpn zilifunguliwa waaay back, labda sites zingine
Hapana mkuu, mpaka jana zilikuwa bado ziko kifungoni hasa zile vpn za uhakika kama Proton, Express na zingine nyingi!Mbona vpn zilifunguliwa waaay back, labda sites zingine
Exactly, wana ill motive behind. MSUWAAMININimeamka leo asubuhi VPN yangu ikawa imejizima nilipolala. Kabla sijaiwasha kwa bahati mbaya nikawa nimebonyeza notification moja ya Twitter. Heeeh, cha kushangaza ikafunguka, narudi nyuma na kurefresh TL yangu nashangaa kila kitu kinafanya kazi bila shida.
Nikaingia Tiktok nako vilevile, kila kitu kiko shwaaari. Inafunguka bila VPN wakati jana tu ilikuwa hautoboi bila hiyo kitu.
Nikajaribu kuingia sites za mapilau, napo pako free, unaserereka tu.
Nikasema kama wameachia hizi social medias na restricted sites basi watakuwa wameziachia na VPN zetu pendwa. Kweli bwana, nimeenda kujaribu kuconnect imekubali haraka bila shida wakati hapo nyuma ilikuwa imeshafungiwa!
View attachment 3501094
Ila habari mbaya ni kwamba JamiiForums bado iko kifungoni na bila VPN hauipati.
View attachment 3501095
NB: Binafsi sina trust tena, kwa mambo yaliyofanyika na yanayoendelea kufanyika huenda wameachia for their own purposes. Huenda wana malengo yao meusi!
Achana na proton, kuna vpn watu wanatumia before ban ya jana.Hapana mkuu, mpaka jana zilikuwa bado ziko kifungoni hasa zile vpn za uhakika kama Proton, Express na zingine nyingi!
VPN KIFUNGONI?Hapana mkuu, mpaka jana zilikuwa bado ziko kifungoni hasa zile vpn za uhakika kama Proton, Express na zingine nyingi!
Haha walicho block ni protocols ambaz vpn nyingi zinatumia, ila hawakublock everythingNani alikuwa aefungia VPN? 😁
Najua mkuu, hata mm ninazo vpn kadhaa, ikigoma hii najaribu ile.Achana na proton, kuna vpn watu wanatumia before ban ya jana.
Hizo ulizotaja ni chache
So ungeulizia before
Hebu tuelimishe hapa kidogo mkuu, "block protocols ambazo vpn nyingi zinatumia"Haha walicho block ni protocols ambaz vpn nyingi zinatumia, ila hawakublock everything