Then they will be banned. It simpleKampuni ya ByteDance ambayo ni Kampuni mama ya Mtandao wa Kijamii wa TikTok, imeshikilia msimamo wake kuwa haitauza mtandao huo licha ya tishio la kufungiwa nchini Marekani.
Bunge la Marekani hivi karibuni lilipitisha sheria ya kuilazimisha Bytedance, ambayo ni Kampuni ya China kuuza mtandao huo ili usipigwe marufuku nchini Marekani kutokana na wasiwasi wa kutumika na Serikali ya China.
Bytedance imesema itaenda mahakamani kwani wanayofanyiwa ni kinyume cha sheria nchini Marekani.
China si waliban mitandao yote ya hao so called “zionist” since 2009?Zionists baada ya kuona hawana control ya free media wakatumia bunge la marekani ambalo wamelinunua ili kuithibiti Tik Tok ili waweze kuiweka tiktok mikononi mwao. Vijana wengi wameamshwa na posts za mauaji ya kimbari yanayoendelea Gaza kupitia TIK TOK.
Mpaka vpn ndo una access ig,whatsapp halafu wanajamba humuChina si waliban mitandao yote ya hao so called “zionist” since 2009?
Japokuwa si support wanachofanya ila china aliban all sc network kutoka western , na hiyo ni 200. So china iko upande upi hapo?Ndio nchi inayohubiri democracy na freedom of speech wameeona tik tok imekuwa watu wanatoa taarifa za kweli kuhusu gaza na wanashindwa kuidhibiti km walivyoithibit X wameona wailazimishe iuzwe
Mpango wa kuipiga pin ulikuwepo tangu enzi za Trump. Au napo kulikuwa na vita ya October 7th?Ndio nchi inayohubiri democracy na freedom of speech wameeona tik tok imekuwa watu wanatoa taarifa za kweli kuhusu gaza na wanashindwa kuidhibiti km walivyoithibit X wameona wailazimishe iuzwe
Sasa mbona serikali ya marekani inashindwa kutoa ushahidi kuhusu hizo tuhuma?Mpango wa kuipiga pin ulikuwepo tangu enzi za Trump. Au napo kulikuwa na vita ya October 7th?
Halafu kuna sehemu taarifa za kisiasa zinasambaa kwa kasi kuzidi Twitter? Umeshakuwa brainwashed.
Ticktock inafungiwa kwa sababu inatumiwa na serikali ya China kuvuna data za Wamarekani. Ni hatari kwa usalama wa nchi yao.
Wenzetu ni wazalendo. Siyo kama sisi.
Mpango wa kuipiga pin ulikuwepo tangu enzi za Trump. Au napo kulikuwa na vita ya October 7th?
Halafu kuna sehemu taarifa za kisiasa zinasambaa kwa kasi kuzidi Twitter? Umeshakuwa brainwashed.
TikTok inafungiwa kwa sababu inatumiwa na serikali ya China kuvuna data za Wamarekani. Ni hatari kwa usalama wa nchi yao.
Wenzetu ni wazalendo. Siyo kama sisi.
VITA ya kibiashara kati ya China na US imeanza muda mrefu ikafumuka zaidi kwenye sakata la HUAWEI na 5G na sasa ni TikTok ambayo kesi yake imeanza hata kabla ya October 7 invasion nimeshangaa sana hio Post yako Sanaa like seriously? Zionist 😁Zionists baada ya kuona hawana control ya free media wakatumia bunge la marekani ambalo wamelinunua ili kuithibiti Tik Tok ili waweze kuiweka tiktok mikononi mwao. Vijana wengi wameamshwa na posts za mauaji ya kimbari yanayoendelea Gaza kupitia TIK TOK.
Hauwezi kua serious yaani TikTok ipigwe ban US just simple because of Gaza do you think they even Care? they don't give fvck about it.Ndio nchi inayohubiri democracy na freedom of speech wameeona tik tok imekuwa watu wanatoa taarifa za kweli kuhusu gaza na wanashindwa kuidhibiti km walivyoithibit X wameona wailazimishe iuzwe