Replica
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 1,681
- 8,887
Kampuni ya ByteDance ambayo ni Kampuni mama ya Mtandao wa Kijamii wa TikTok, imeshikilia msimamo wake kuwa haitauza mtandao huo licha ya tishio la kufungiwa nchini Marekani.
Bunge la Marekani hivi karibuni lilipitisha sheria ya kuilazimisha Bytedance, ambayo ni Kampuni ya China kuuza mtandao huo ili usipigwe marufuku nchini Marekani kutokana na wasiwasi wa kutumika na Serikali ya China.
Bytedance imesema itaenda mahakamani kwani wanayofanyiwa ni kinyume cha sheria nchini Marekani.