TikTok yapewa muda hadi Januari 19, 2025 iwe imeuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani au ifungiwe

Hiyo ifungwa tu labda watoto wa 2000's watapata ahueni.
 
Tatizo mbavu na mapafu. China kuna kipindi alihamia kwenye soka, akawa analipa pesa ndefu kufuru Sasa hivi ameshaachana nayo
Yah ana project zilizofail ikiwemo kuhamisha miji mikubwa za europe china. Ila kwenye tech kila sikua anafanikiwa. EVs kashika, nissan isipopata mwekezaji kufikia mwakani itakuwa imefilisika, Vokswagen, Benz wanalia, sasa hivi yuko kwenye mpango wa kuwa mojawapo ya leading pioneers wa kusupply chips. unaambiwa mpaka sasa kuna private companies 1400 za kutengeneza chips china ambazo zinapewa fedha na serikali ili kufanya research na ubunifu ili baadaye zije kushindana na kampuni kubwa tatu za US
 
Thibitisha kauli yako
Tangu Kitambo sana Wanayataka Makapuni yawatengenezee namna nzuri ya kudukua. Kwenye Hii Kesi ya 2016 baada ya FBI kubwagwa Mahakamani wakatoa tenda kwa Vendor ya Kudukua Simu za Iphone wakapata Software kutoka Israel Wakamalizana na Iphone
 
Attachments

  • Screenshot_20241207_113234_Samsung Internet.jpg
    287.7 KB · Views: 5
Tangu Kitambo sana Wanayataka Makapuni yawatengenezee namna nzuri ya kudukua. Kwenye Hii Kesi ya 2016 baada ya FBI kubwagwa Mahakamani wakatoa tenda kwa Vendor ya Kudukua Simu za Iphone wakapata Software kutoka Israel Wakamalizana na Iphone
Mmarekani atakudukua usiye raia wake. Lakini siyo mjinga kuingilia faragha za watu wake
 
unazungumzia TEMU nini maana US washaanza kulalamika kuhusu huu mtandao wenye jina la Kichaga
Itakiwa maana hata Ulaya hama hamu na TEMU. Wanalia timing tu waufungie
 
Raha kufanyia wenzako ila ukifanyiwa kile kile unachofanyia wenzio unaumia.
China kila mtu anatumika kufeed info kwa Serikali Yao.
Wakimaliza app hiyo wawauwe na wachina iwe raia, mwanafunzi, Profesa na wengine waliopo U.S.
 
Tatizo mbavu na mapafu. China kuna kipindi alihamia kwenye soka, akawa analipa pesa ndefu kufuru Sasa hivi ameshaachana nayo
Ameachana na soka baada ya kuona haina matokeo aliyo tarajia kwa ufupi wachina kwenye soka wapo hovyo sana.

Na ni wachina wote sio Hong-Kong wala Beijing wala Taiwan wala Macau
 
Kweli mkuu,china yapitia mlemle na chakuongezea hapo ni kwamba Kwa kuwa teknolojia inachingia pia kukua kwa uchumi wa nchi husika,hawa USA wanahofia China asikue zaidi dhidi yao,hivyo wanajaribu kumdhibiti kivyovyote vile,lkn hawawezi fanikiwa.
 
Wanajaribi kumdhibiti asipate tech ya kutengeneza chips kwa sababu chips are everywhere kwenye silaha, magari yani kila kitu.
sasa china anataka kuzalisha silaha za AI pia na kuwa leading supplier wa chips.
Hizi ban hazitomzuia kufanya hivyo.
 
Mtandao wa hovyo, lkn Marekan nayenyewe iache soko huria liamue, au waanzishe TikTok yao nasio kufungia mitandao. Hivi Tz ikifungia watsp, X, insta wakasema sio salama kwa nchi yetu itakua sawa?.
Mbona hampigii kelele china kufungia kila kitu hadi youtube. Mzee ukitoa dawa uwe umeitest kwanza na uhakikishe unaweza stahimili uchungu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…