TikTok yapewa muda hadi Januari 19, 2025 iwe imeuza hisa zake kwa mwekezaji wa Marekani au ifungiwe

Hapo usa anataka mmiliki awe usa citizen ili wakitaka taarifa flan kweye ujasusi wazipate ila china sio mjinga hivyo.
 
Ni mtandao pekee ambao Zayuni hajauweka mkononi. Sasa anatumia machinery ya serikali ya Marekani ambayo iko viganjani mwake kuuweka mkononi.
Hii ndo komment ya maana kabisa kwenye hii thread watu wanalichukulia hilo kwa wepesi sana ila mtandao wenye watumiaji wengi halafu usa hana access nao hilo ni bom kwake
 
Mtandao wa hovyo, lkn Marekan nayenyewe iache soko huria liamue, au waanzishe TikTok yao nasio kufungia mitandao. Hivi Tz ikifungia watsp, X, insta wakasema sio salama kwa nchi yetu itakua sawa?.
Jombaa mfano gani huo, Tz mnaamuliwa tu
 
Wakati wenzetu wanapigania USALAMA wa nchi yao. Hapa kwetu serikali inapambana kudukua mawasiliano ya raia wake ili kulinda usalama wa taifa
Ukipata muda nenda Google then search Edward Snowden.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…