Wizi kusha itakua ngumu sana... Nakumbuka... Kipindi flani tulikua tunafanya promo ya Bia flani ya TBL maarufu sana... Na mshindi alitakiwa apate Tv mmoja kubwa sana ya kama milioni saba hv... Alipatikana jamaa alieshinda mapema akaitwa kwanza akaambiwa ww ndo mshindi mmoja wapo tumekuchagua ila kuna masharti utapata laki saba tu.. Hakuna cha Tv hapa ukikataa atatafutwa mtu mwingine.. Jamaa akakubali akapiga picha na tv ila mwisho wa siku akapewa laki saba lakn media zote akaonekana na Tv.. Shenzi kabisa
Sent using
Jamii Forums mobile app