Tikuba ramadhan ni nani?

Tikuba ramadhan ni nani?

Liobite

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
126
Reaction score
37
Tikuba ramadhani ni mshindi Wa million 284 Wa M-bet perfect12. Ni nani anayemjua huyu mtu au M-bet walikuwa wanafanya matangazo tu?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ni jamaa mmoja anaishi huko mjini Arepo (Syria).
 
Wizi kusha itakua ngumu sana... Nakumbuka... Kipindi flani tulikua tunafanya promo ya Bia flani ya TBL maarufu sana... Na mshindi alitakiwa apate Tv mmoja kubwa sana ya kama milioni saba hv... Alipatikana jamaa alieshinda mapema akaitwa kwanza akaambiwa ww ndo mshindi mmoja wapo tumekuchagua ila kuna masharti utapata laki saba tu.. Hakuna cha Tv hapa ukikataa atatafutwa mtu mwingine.. Jamaa akakubali akapiga picha na tv ila mwisho wa siku akapewa laki saba lakn media zote akaonekana na Tv.. Shenzi kabisa

[emoji16]

n0 r0se with0ut th0rn
 
Back
Top Bottom