Tiles zimepanda bei

Tiles zimepanda bei

Aisee niliulizaga hizi tiles za 40x40 ili nimalizie ujenzi nimekuta zimepanda bei nikauliza nini sababu muuza duka akanijibu WANATOZWA KODI KUBWA.HILI JIBU LIMENISIKITISHA SANA AISEE NIMESHANGAZWA NA HII SERIKALI INAVYOJITANABAISHA KUWA NI WA WANYONGE sasa sijui hao wanyonge ni wa MALAWI au TZ.
Siku unapouliza bei, ndo siku ya kununua mkuu, hiyo ndo tabia ya "fiat money"
 
Hela zenyewe za kuwinda kuwa na hela ambayo ipo stand byee kwa manunuzi ilikuwa enzi zile sio sasa hivi
Siku unapouliza bei, ndo siku ya kununua mkuu, hiyo ndo tabia ya "fiat money"
 
Hatamimi niliwahi fanya kazi kiwanda cha tiles mkuranga al maaruf KWA MCHINA pale tulikua tunapakia tiles zinakwenda nje ya nchi,kuna wakati wakenya walirudisha tiles semi trela 40 walidai hazina viwango,zikauzwa kwa bei ya hasara hapa hapa mkuranga,waliuza 40* 40 boksi sh 2500 mpaka zikaisha.
 
Waulizie tena kwa sasa 40x40 ni sh ngapi usikie.
Hatamimi niliwahi fanya kazi kiwanda cha tiles mkuranga al maaruf KWA MCHINA pale tulikua tunapakia tiles zinakwenda nje ya nchi,kuna wakati wakenya walirudisha tiles semi trela 40 walidai hazina viwango,zikauzwa kwa bei ya hasara hapa hapa mkuranga,waliuza 40* 40 boksi sh 2500 mpaka zikaisha.
 
Mkuu wachina wamejenga viwanda vingi sana vya tiles Dar es salaam lakini cha ajabu bei ya tiles inazidi kwenda juu kila kukicha..
Dar hakuna kiwanda cha tiles cha wachina,
Pwani labda
 
Mwanzoni nilienda nilikuta wanauza 15,000 kwa box la 40x40 huku mkoani ila nimeenda jana nimekuta 21,000 kwa box NIMEUMIA SANA YAANI.
Nawe ungeweka bei uliyotajiwa ingekua vyema zaid
 
Mwanzoni nilienda nilikuta wanauza 15,000 kwa box la 40x40 huku mkoani ila nimeenda jana nimekuta 21,000 kwa box NIMEUMIA SANA YAANI.
Duh apo kwl lazima hesabu iyumbe tena kwa speed yakimbunga Kenneth ..huku huku mikoani iyo 40 kwa 40 mwaka jana niliuliza ilikua 17000 nazan sasaiv itakua inakimbilia 25000
 
Mbaya zaidi nimejinyima nipendezeshe kamjengo kangu nimekula maharage na matembele plus kudoji vikao vya pombe daaa we acha tu
Duh apo kwl lazima hesabu iyumbe tena kwa speed yakimbunga Kenneth ..huku huku mikoani iyo 40 kwa 40 mwaka jana niliuliza ilikua 17000 nazan sasaiv itakua inakimbilia 25000
 
Aisee niliulizaga hizi tiles za 40x40 ili nimalizie ujenzi nimekuta zimepanda bei nikauliza nini sababu muuza duka akanijibu WANATOZWA KODI KUBWA.HILI JIBU LIMENISIKITISHA SANA AISEE NIMESHANGAZWA NA HII SERIKALI INAVYOJITANABAISHA KUWA NI WA WANYONGE sasa sijui hao wanyonge ni wa MALAWI au TZ.
Chukua tiles za india [emoji1128] ni nzuri imara hutojutia na naona bei zao zipo sawa na mwaka jana tu
 
Mafundi wameweka vifaa vya ujenzi chini hakuna kazi wamejikusanya na familia zao wanatia huruma wajenzi wamepungu we fight for food only.
Hamna unyonge wowote kama kipindi. Kilichopita. Awamu ya NNE hata ujenzi wa MTU mmoja mmoja ulikua mzuri.
 
Aiseeee [emoji15][emoji15]

Back
Top Bottom