Kuna nyimbo moja nilikuwa nasikiliza
i guess ya NEYO....nikakutana na mstari mmoja unasema..
'i am gonna love you till you love yourself'...
Nikawa najiuliza maswali kibao.....
je tabia za watu kwenye mahusiano inawezekana moja ya sababu
ni 'they don't love themselves that much?
na je hii solution ya 'i am gonna love till you love yourself'
inasaidia?
how true is this?
inawezekana?
unaweza apply hii kwa mtu anae kuudhi na kukukwaza? how?
mnaonaje?
Kuna nyimbo moja nilikuwa nasikiliza
i guess ya NEYO....nikakutana na mstari mmoja unasema..
'i am gonna love you till you love yourself'...
Nikawa najiuliza maswali kibao.....
je tabia za watu kwenye mahusiano inawezekana moja ya sababu
ni 'they don't love themselves that much?
na je hii solution ya 'i am gonna love till you love yourself'
inasaidia?
how true is this?
inawezekana?
unaweza apply hii kwa mtu anae kuudhi na kukukwaza? how?
mnaonaje?
bora umerudi kuna vitu vilikuwepo humu jamvini siku mbili hizi kha!Nikakumisijee!okeeey back to the track.
mi naamini ili ujue unapendwa ni lazima uwe unajipenda maana ukijipenda kwanza utajua unataka nini na utajitambua zaidi,unapojitambua ni rahisi kutambua kuwa unapendwa au unachezewa.ukijitambua ni rahisi kufanya anayekupenda kujua unahitaji nini na nini afanye ili kukuwin!ukijipenda ni rahisi kukeep mahusiano since ulichonacho ndicho unakihitaji katika maisha so far so good u will work nails down kufanya hayo mahusiano yadumu,kwani kwa kujipenda nafsi yako hutapenda ikose kile unachokipenda kwa upuuzi puuzi tu!
interesting.....
nakubaliana na mtu kujipenda kabla ya kuanzisha mahusiano
lakini hili la wewe mfano
unajua kabisa jitu fulani halijopendi na kujitambua
halafu unaona kwa 'kumpenda na kumpenda' ndo itamsadia kujitambua na kujipenda mwenyewe
does it work?
it doesnt!kwa sababu asiyejipenda wala hawezi kutambua kuwa anapendwa!
it doesnt!kwa sababu asiyejipenda wala hawezi kutambua kuwa anapendwa!
why shud u sacrifice unajua faida nyingine ya kujipenda ni kujua kaka unayempenda analistahili penzi lako,so ni haraka sana utajiuliza does she/he worth it?wanaojipenda hawaumizi mioyo yao,so aliyejiandaa kujipenda kwanza nd akaingia kwenye mahusiano anademand kupendwa kwa kuonyesha kuwa amependa,na ni haraka sana kujitoa anapojua hapendwi kwani anajiwekea fence kwenye moyo wake.na hii haiji ukubwani The Boss,inajengwa toka utoto!Na mimi nilikuwa naona kuwa ni ngumu hii
lakini naona kuna watu wanaamini hiii sana
sasa hapa ndo najiuliza
kama mtu hajitambui solution ni kumpiga chini?
au ndo 'tulitakiwa kuwafundisha kujitambua na kujipenda'?
it it all possible.....
inategemea, kuna muda inaweza fanya kazi na kuna muda haiwezi fanya kazi.
Inategemea sababu za mtu huyo zilizomfanya asijipende au kujitambua.
Kuna watu wamekuwa abused kwenye mahusiano, na kuwafanya au wasipende tena au kuwa na 'low self esteem'
kwa kumpenda kunaweza saidia kurudisha kujiamini kwake.
It complicated I guess, sio straight kihivyo.
it doesnt!kwa sababu asiyejipenda wala hawezi kutambua kuwa anapendwa!
Mimi najiuliza mfano wadada wanaopenda 'wazungu'
nahisi kama kuna masuala ya kujitambua na kutojipenda yanahusika
ingawa ni true love haina color
yah tunafundishwa kupenda na kupendwa toka tumboni mwa mama zetu!nikiangalia kwa mtizamo tofauti, hii statement inaweza kutumika kwa mtu aliyejichukia kwa muda fulani, lakini lazima mtu huyu awe aliwahi jipenda wakati fulani katika maisha yake.
Mie naamini, tunafundishwa kupenda unconditional na kujipenda tangu siku tunazaliwa. Yale mazingira unayoishi ndio yanakufundisha kupenda wengine, kama ulipendwa upendo wa manyanyaso hata wewe kwenye maisha yako utatoa upendo wa aina hiyo hiyo.
Ngoja nijaribu mfano huu kama nitakuwa clear.
Mtoto anapozaliwa, akalelewa kwenye maisha ya kunyanyaswa, sio tu kwamba hajithamini yeye, ila hata yeye hataamini sana katika 'unconditional love' kwa wengine.
Mtu wa aina hii sijui hii 'love u till you love yourself' kama itaweza fanya kazi kwake maana naamini hicho unachojaribu kumfundisha hajawahi ki-experience. Na kama unavyojua, tunatafsiri na kuelewa mambo kulingana na historia zetu. 'cognitive theory'
lakini hii inaweza kuwa tofauti kwa mtu aliyelelewa kwenye upendo na akafundishwa kujitamini na kupenda wengine uncondtiona.
Lakini labda akawa abused kwenye mahusiano na kukata tamaa. Ukijaribu apply hii 'love you till you love yourself' inaweza fanikiwa.
King'asti haya unayozumza yana ukweli but je masuala ya gender hapa yanakuwaje?Sometimes it does!
Kwa kuendelea kumuonyesha upendo mtu ambae hapendeki inamfanya aanze kujiangalia kwa upya. Wakati mwingine anaweza kukuuliza 'what do you see in me that others don't?' Na ikawa kete ya ushindi to air your opinions. Wakati mwingine, kuweza kuwapenda na ku-keep up with people ambao wameshindikana ama hawatakiwi na yeyote huwa ni chachu ya mabadiliko.
Mind you, siongelei tasnia ya malavi davi peke yake.
Mimi najiuliza mfano wadada wanaopenda 'wazungu'
nahisi kama kuna masuala ya kujitambua na kutojipenda yanahusika
ingawa ni true love haina color
why shud u sacrifice unajua faida nyingine ya kujipenda ni kujua kaka unayempenda analistahili penzi lako,so ni haraka sana utajiuliza does she/he worth it?wanaojipenda hawaumizi mioyo yao,so aliyejiandaa kujipenda kwanza nd akaingia kwenye mahusiano anademand kupendwa kwa kuonyesha kuwa amependa,na ni haraka sana kujitoa anapojua hapendwi kwani anajiwekea fence kwenye moyo wake.na hii haiji ukubwani The Boss,inajengwa toka utoto!
King'asti haya unayozumza yana ukweli but je masuala ya gender hapa yanakuwaje?
binti na mwanaume asiejitambua italingana na mwanaume na binti asiejitambua?
Umezungumza fence ya moyo
hii fence inajifunga kwa 'mtu sie sahihi'?
na kujifungua kwa mtu sahihi?
je na wale ambao wanajua kabisa huyu mtu sio sahihi
na sometimes anasema kabisa 'kuwa fulani hanifai kwa kweli'
lakini wapo tu still na jitu hilo hilo?[/QUOTE] anakuwa hajajipenda huyo