King’asti
Platinum Member
- Nov 26, 2009
- 27,855
- 24,925
King'asti haya unayozumza yana ukweli but je masuala ya gender hapa yanakuwaje?
binti na mwanaume asiejitambua italingana na mwanaume na binti asiejitambua?
Sijui kama nimekuelewa tofauti ya scenario 1 na 2
ila especially ni kwa ajili ya mtu aliekuwa sawa halafunakaacha kujipenda kwa sababu fulani. Mfano mwenzi wangu tulikuwa sawa tu. ikafika mahali kwa ajili ya say company ama kuzidi kwa kipato akaanza kuwa mlevi na anachelewa kurudi home. Na mwisho hata kazi inamshinda anafukuzwa ama kufulia. Hii sentenso nitaitumia kumsaidiankubadilika. Its like saying, i want your old self back, and i am here waiting patiently. Hata ukirudi late na umelewa, i wont shout. I will make sure you eat, and sleep and i will show love. Lakini sio forever. Itafika mahali i will tell you i have loved you, waiting for you to love yourself again, lakini naona nashindwa. So, najua at that point Wakati the whole world is against you utaogopa na mie kukuacha alone.
Well, i should say its a diplomatic way of manipulating.:whip: Showing love where it is not expected.
Did i answer your question?