Till you love yourself... Inawezekana?

Till you love yourself... Inawezekana?

King'asti haya unayozumza yana ukweli but je masuala ya gender hapa yanakuwaje?
binti na mwanaume asiejitambua italingana na mwanaume na binti asiejitambua?

Sijui kama nimekuelewa tofauti ya scenario 1 na 2
ila especially ni kwa ajili ya mtu aliekuwa sawa halafunakaacha kujipenda kwa sababu fulani. Mfano mwenzi wangu tulikuwa sawa tu. ikafika mahali kwa ajili ya say company ama kuzidi kwa kipato akaanza kuwa mlevi na anachelewa kurudi home. Na mwisho hata kazi inamshinda anafukuzwa ama kufulia. Hii sentenso nitaitumia kumsaidiankubadilika. Its like saying, i want your old self back, and i am here waiting patiently. Hata ukirudi late na umelewa, i wont shout. I will make sure you eat, and sleep and i will show love. Lakini sio forever. Itafika mahali i will tell you i have loved you, waiting for you to love yourself again, lakini naona nashindwa. So, najua at that point Wakati the whole world is against you utaogopa na mie kukuacha alone.

Well, i should say its a diplomatic way of manipulating.:whip: Showing love where it is not expected.

Did i answer your question?
 
Umezungumza fence ya moyo
hii fence inajifunga kwa 'mtu sie sahihi'?
na kujifungua kwa mtu sahihi?
je na wale ambao wanajua kabisa huyu mtu sio sahihi
na sometimes anasema kabisa 'kuwa fulani hanifai kwa kweli'
lakini wapo tu still na jitu hilo hilo?[/
QUOTE] anakuwa hajajipenda huyo

Kuna mtu alisema 'love is a selfish thing'
is it?
 
Sijui kama nimekuelewa tofauti ya scenario 1 na 2
ila especially ni kwa ajili ya mtu aliekuwa sawa halafunakaacha kujipenda kwa sababu fulani. Mfano mwenzi wangu tulikuwa sawa tu. ikafika mahali kwa ajili ya say company ama kuzidi kwa kipato akaanza kuwa mlevi na anachelewa kurudi home. Na mwisho hata kazi inamshinda anafukuzwa ama kufulia. Hii sentenso nitaitumia kumsaidiankubadilika. Its like saying, i want your old self back, and i am here waiting patiently. Hata ukirudi late na umelewa, i wont shout. I will make sure you eat, and sleep and i will show love. Lakini sio forever. Itafika mahali i will tell you i have loved you, waiting for you to love yourself again, lakini naona nashindwa. So, najua at that point Wakati the whole world is against you utaogopa na mie kukuacha alone.

Well, i should say its a diplomatic way of manipulating.:whip: Showing love where it is not expected.

Did i answer your question?

Uenielewa vizuri na umejibu vizuri
sasa hapo ni kuwa wewe mwanamke ulikuwa na 'love ya kutosha kwako mwenyewe'
na still ukaweza itumia kwa mwenzio'
but wapo wanaovutwa kwenye negative side ya mwingine

hilo ndo swali langu
most of time mwanaume asiejipenda husababisha disaster kwa mwanamke anaekutana nae
hata kama huyo mwanamke hapo mwanzo alikuwa okay
kulinganisha na mwanaume okay kukutana na mwanamke asiejipenda,get it?
ndoo mana nikauliza hii 'love till u love yourself yaweza kuwa dangerous kwa wanawake zaidi?
 
nikiangalia kwa mtizamo tofauti, hii statement inaweza kutumika kwa mtu aliyejichukia kwa muda fulani, lakini lazima mtu huyu awe aliwahi jipenda wakati fulani katika maisha yake.

Mie naamini, tunafundishwa kupenda unconditional na kujipenda tangu siku tunazaliwa. Yale mazingira unayoishi ndio yanakufundisha kupenda wengine, kama ulipendwa upendo wa manyanyaso hata wewe kwenye maisha yako utatoa upendo wa aina hiyo hiyo.

Ngoja nijaribu mfano huu kama nitakuwa clear.

Mtoto anapozaliwa, akalelewa kwenye maisha ya kunyanyaswa, sio tu kwamba hajithamini yeye, ila hata yeye hataamini sana katika 'unconditional love' kwa wengine.

Mtu wa aina hii sijui hii 'love u till you love yourself' kama itaweza fanya kazi kwake maana naamini hicho unachojaribu kumfundisha hajawahi ki-experience. Na kama unavyojua, tunatafsiri na kuelewa mambo kulingana na historia zetu. 'cognitive theory' mfano mtoto wa mitaani, anachojifunza ni ku-survive, hayo ya hisia ni bonus, sidhani kama anaweza elewa hii kihisia.

lakini hii inaweza kuwa tofauti kwa mtu aliyelelewa kwenye upendo na akafundishwa kujitamini na kupenda wengine uncondtiona.
Lakini labda akawa abused kwenye mahusiano na kukata tamaa. Ukijaribu apply hii 'love you till you love yourself' inaweza fanikiwa.

sasa hii chukulia mfano
watu mmekutana ukubwani
hujui historia sahihi ya mwenzio
unaweza sema i am gonna love till he/she loves her/himself?
 
unajua mara nyingi mahusiano yasiyo sahihi huwa tunaonyeshwa mapema sana!mra nyingi ukiwa makini utakuta tabia ambazo later zinakufanya uachane na mwenzi wako ulizispot siku nyingi sana!tu huwa tunajiaminisha atabadilika.so hili la kupenda asiyejipenda vile vile huwa linaweza kuwa spotted at a very early stage kwenye mahusiano,things like unakunywa soda gani simply mtu anakujibu kwan we unapenda ipi?au mwanume anakutokea anaazna na pompous kibao,huyo mtu hajipendi anapenda vitu alivyo navyo so ana amini na we utavipenda so automatically utampenda!so ikitoke tu vitu alivyo navyo vimepotea ataamini humpendi tena since toka utoto aliaminishwa kuwa thamani yake ni vitu!so manifestation ya asiyejipenda ipo katika vitu vingi sana ,sasa ngoma wakutane wote hawajipendi na wapo kwenye mahusiano!
 
Uenielewa vizuri na umejibu vizuri
sasa hapo ni kuwa wewe mwanamke ulikuwa na 'love ya kutosha kwako mwenyewe'
na still ukaweza itumia kwa mwenzio'
but wapo wanaovutwa kwenye negative side ya mwingine

hilo ndo swali langu
most of time mwanaume asiejipenda husababisha disaster kwa mwanamke anaekutana nae
hata kama huyo mwanamke hapo mwanzo alikuwa okay
kulinganisha na mwanaume okay kukutana na mwanamke asiejipenda,get it?
ndoo mana nikauliza hii 'love till u love yourself yaweza kuwa dangerous kwa wanawake zaidi?

Ooh great.
inaweza kuwa dangerous kwa wote kutegemeana na certain things. Mfano, kama kuna kitu kisichovumilika ni serial cheating na physical abuse. Just note no one can wait forever for you to start loving yourself coz we aint God.
 
Unaweza thin unamsaidia mtu
ukajikuta unaingia nae kwenye shimo
mfano watu wenye addictions fulani
wengii huambukiza partners wao
 
unajua mara nyingi mahusiano yasiyo sahihi huwa tunaonyeshwa mapema sana!mra nyingi ukiwa makini utakuta tabia ambazo later zinakufanya uachane na mwenzi wako ulizispot siku nyingi sana!tu huwa tunajiaminisha atabadilika.so hili la kupenda asiyejipenda vile vile huwa linaweza kuwa spotted at a very early stage kwenye mahusiano,things like unakunywa soda gani simply mtu anakujibu kwan we unapenda ipi?au mwanume anakutokea anaazna na pompous kibao,huyo mtu hajipendi anapenda vitu alivyo navyo so ana amini na we utavipenda so automatically utampenda!so ikitoke tu vitu alivyo navyo vimepotea ataamini humpendi tena since toka utoto aliaminishwa kuwa thamani yake ni vitu!so manifestation ya asiyejipenda ipo katika vitu vingi sana ,sasa ngoma wakutane wote hawajipendi na wapo kwenye mahusiano!

wakikutana wote 'wasaniii' ni sinema kwa majirani lol
 
kama sijakupata hapa mkuu!

Umesema ajabu couple zanye 'usanii'
zina last
nimekujibu yes
the reason inaweza kuwa wanafanya hivyo labda pia
kwa spice up life,since the truth wanaweza iona ni boring...
kudanganyana for fun...could be..
 
Umesema ajabu couple zanye 'usanii'
zina last
nimekujibu yes
the reason inaweza kuwa wanafanya hivyo labda pia
kwa spice up life,since the truth wanaweza iona ni boring...
kudanganyana for fun...could be..[/
QUOTE]

THERE ARE THINGS IN LIFE THAT ARE DIFFICULT TO EXPLAIN...naomba nidese kidogo!
 
Unaweza thin unamsaidia mtu
ukajikuta unaingia nae kwenye shimo
mfano watu wenye addictions fulani
wengii huambukiza partners wao
We
ll, maybe it
s nice to have a strong personality na sio kuwa bendera fuata upepo. You should be able to change the people around you, and not otherwise. Hebu jisomee siginecha yangu hapo...
 
Umesema ajabu couple zanye 'usanii'
zina last
nimekujibu yes
the reason inaweza kuwa wanafanya hivyo labda pia
kwa spice up life,since the truth wanaweza iona ni boring...
kudanganyana for fun...could be..[/
QUOTE]

THERE ARE THINGS IN LIFE THAT ARE DIFFICULT TO EXPLAIN...naomba nidese kidogo!

ha ha haaa i am humbled...
 
We
ll, maybe it
s nice to have a strong personality na sio kuwa bendera fuata upepo. You should be able to change the people around you, and not otherwise. Hebu jisomee siginecha yangu hapo...

ha ha haa nimekupata lol
 
Back
Top Bottom