BelindaJacob
Platinum Member
- Nov 24, 2008
- 6,474
- 4,039
next time my dearha haa haa ungeni text lol
nitausikiliza huo wimbo The Boss na hizo lyrics zake. Mimi najipenda sana siyo tu kwa hisia&vitendo hata kama kuna dhoruba kadhaa nazipitia/nimezipitia. Hii hainifanyi kutompenda mtu mwingine madhubuti ila naamini mimi ndiyo namba moja kwenye maisha yangu.
nakumbuka kuna wakati hapa kulikuwa na thread mtu anajihesabia mara ngapi amekuwa approached na wakaka kwa wiki, nikawa najiuliza maana ya hiyo statement sikuipatia jibu sahihi
Dah... Hii ni obsession, tena nadiriki kusema obsession mbaya... Kuhesabu umetongozwa na wangapi? Huyu mtu lazima anakuwa na low self esteem ama attentions seeking issues.
hivi dawa na low self esteem ni nini??
Kuna mtu anahangaika sana, tatizo hatujui dawa yake.
Kongosho sina hakika kama jibu laweza kuwa dawa ya huyo mtu unamzungumzia kwamba anahangaika... Ila low self esteem sijui kama sawa, ila naweza sema ni kutokujiamini...
Dawa ni kumuona a specialist
wapo mahospitalini
ndio huko kutojiamini kulikopindukia
kila saa anataka mtu wa kuwa naye karibu, anachosha sana.
Kwa jinsi ulivoongea ni kama inakugusa wewe moja kwa moja... Kongosho una hakika umeliangalia hili swala kwa undani? Hivi mtu kutaka kuwa na wewe karibu ni kutojiamini ama tu labda kwa namna moja ama nyingine anapenda kampani yako na kila uwezapo anahitaji uwe karibu?
Sijui kama nakosea... Kama huyo mtu anakuchosha ina mana umefika stage ambayo humtaki kuwa nae karibu, na ukitaka unataka pale ambapo ni convienience yako... Kiasi kwamba your convienience yaweza kuwa after a month na yeye after a day, hapo lazima tu mkwazane. Ni kiasi tu cha ku man up na kumwambia ukweli kuwa anakuchosha. That ought to work for the better..
Pamoja na kuwa na mie ni miongoni mwa wanaochoshwa but kiukweli ana tatizo.
Sijui nisemeje au niiwekeje.
Ulishawahi ona mtu hawezi kukaa kwenye jumuiya bila ya mtu wa kuegemea??
Akiondoka Asha, anamng'ang'ania Zakia.
Akisafiri hata kwenda trip ya wiki mbili lazima atafute mtu wa kuegemea?? Inasababisha analiwa liwa ovyo tu. Na ni mama wa watoto kadhaa??
Lakini mie kwa 'observations' zangu tu nimehisi ni self esteem.
Ulishawahi kaa na mtu anapenda kujilinganisha na wengine mapungufu yao ili ajifariji?? 24/7.
Anyway, labda namwangalia sana.
Napita tu... naona thread imesha fika mbali,
labda hata nilio taka kusema yamesha semwa
Pamoja na kuwa na mie ni miongoni mwa wanaochoshwa but kiukweli ana tatizo.
Sijui nisemeje au niiwekeje.
Ulishawahi ona mtu hawezi kukaa kwenye jumuiya bila ya mtu wa kuegemea??
Akiondoka Asha, anamng'ang'ania Zakia.
Akisafiri hata kwenda trip ya wiki mbili lazima atafute mtu wa kuegemea?? Inasababisha analiwa liwa ovyo tu. Na ni mama wa watoto kadhaa??
Lakini mie kwa 'observations' zangu tu nimehisi ni self esteem.
Ulishawahi kaa na mtu anapenda kujilinganisha na wengine mapungufu yao ili ajifariji?? 24/7.
Anyway, labda namwangalia sana.
My mwali you good dear? Haijalishi kama tumefika mbali... Kuna tatizo hapa unaweza kuwa na msaada for I know you are good in this. Kongosho ana mtu ambae anamuonea huruma kuwa tabia zake ni za ovyoo, hebu msome hapo juu na you may assist in the matter. Hata hivo nimeshangaa sana kwa yeye kuweza mvumilia huyo mtu anae mkera kiasi hicho to that extent... It maybe s/he means a lot... It maybe just out of curiosity, ila kubwa kuliko yote to me naona ni interesting case...
Nipe senti zako mbili...
Huyo mtu yupo humu humu JF, na ni mimi hapaHuyu mtu yupo officin kwenu au hapa jf?
Huyo mtu yupo humu humu JF, na ni mimi hapa
I contently need a friend to tell me I will be fine,
they love me, I am a special girl etc. inanisaidia sana
Hadi sasa, alhamdulilah, volunteers hawajakosekana
Wengine bila kumpata mtu anayeweza kuwapa sense of being beutiful and lovable hawawezi kujipenda wenyewe. Wanataka mtu awaonyeshe njia ili wafuate.
Huyo mtu yupo humu humu JF, na ni mimi hapa
I contently need a friend to tell me I will be fine,
they love me, I am a special girl etc. inanisaidia sana
Hadi sasa, alhamdulilah, volunteers hawajakosekana
Ni muhimu AshaDii ila kwangu binafsi, life has taught me to be a combatant so I know I can find my way for something I need or want without getting any special favor/boost from other people...it is a strange life!Naamini kuwa kila mwanadamu once in a while ni vizuri kusifiwa... Inakuwa kama kumwagia maji kwenye bustani nzuri ya maua, hata hivo haitakiwi wala haimaanishi kuwa hayo maji yanatakiwa 24/7. Ndahani naamini ni nzuri kuwa kuna wakati wewe mwenyewe ukijitafakari unajikubali na kusema "inshallah, Mwenyezi Mungu hakunisahau.. hata mimi wamo" haijalishi ni kitu gani wajikubali, iwe mwili, ujuzi, mawazo, mtazamo ama lolote lile. Itokeapo huwezi jifurahia bila kuambiwa then hilo kwa kweli ni tatizo... That is what i think...
Mwali I love you...