Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
Tim hakua na uwezo mkubwa wa masomo darasani, kuna mtu alinisimulia kuwa jina la Weartherspoon lilikua jina la mwalimu wake aliyemtakia kwa hasira “Tim you’re good for nothing, you can not write essays nor manage solving mathematics questions “. Baada ya kuachana na masomo Ali hustle na pub yake ya kwanza aliipa jina la yule mwalimu kwani yale maneno yalimchoma sana moyoni.
Sasa hivi Weartherspoon ina matawi zaidi ya 1,000 nchi nzima na kuna chache zinaendesha huduma ya malazi kwa bei nafuu. Umaarufu wa pubs za Tim Martin unakuja kwa kuuza chakula kwa bei nafuu na wengi hununua pombe baada ya kula.
Tim ameajiri maelfu ya watu na mwaka 2020 alitengenezw faida ya zaidi ya £milioni 75,000 na kila mwaka anachangia £milion 123 katika pato la taifa kutokana na kodi.
Hakuna mjinga duniani ni kuwa wengine hawajatambua vipaji vyao na wengine wameshindwa kuviamsha.