I am still trying to recover from the shock. Kwa walioko Tanzania au nje ya Marekani ambao hawakuwahi kumjua Tim Russert na kipindi cha Meet the Press, kipindi hiki kilikuwa ni "kiti moto" kwa kila aliyejidai au kuwa bingwa wa Siasa au mahiri katika mahusiano ya jamii kupitia siasa, uchumi na kadhalika.
Wengine umahiri wa kuhoji "vigogo" na kuandika makala za uchambuzi, thinking outside the box, tumejifunza si kutoka vyuoni Kivukoni, bali kwa kutoka kwa waandishi mahiri kama Tim Russert, Ed Bradley, Peter Jennings, Rush Limbaugh, Hannity & Colmes, Dan Rather, Tim Brokaw, Bill Maher, Tavis Smiley, Ronald Martin, Michael Wallace, Wolf Blitzer, Chris Matthews, Gwen Ifel, Michelle Norris, Maureen Dowd, Bill Kristol, Thomas Friedman, Nicholas Kristof, Jon Meechum, David Brooks na wengine wengi.
Sunday morning will never be the same anymore. I used to watch the program religiously, more than watchin Joel Olsteen and going to church.
So long TV friend who was such inspiration to most of us, and fed us with details and analytical perspective of dynamics of politics. You were a great teacher, a beautiful human being, humble, modest, honest, sincere and fair.
You will always be remembered, and if it is Sunday, it will always be "meet the press"!