Wadau baada ya Abdu kiba kutoa kibao chake cha Jeraha siku moja mbele Timbulo naye akatoa kibao chake akikiita Promise, Jeraha na Promise zina mashahiri yaliyofanana neno kwa neno! sikiliza hapa chini
Timbulo Promise
Abdukiba Jeraha
Je kipi kimempata Timbulo? Inawezekana yeye ndo mwenye idea ya wimbo na Abdu ndiye aliyekopi? Kama ni hivyo kwanini kaamua kuurelease ihali anajua kabisa kwamba kafunikwa?
Wao waseme nani kawatungia hiyo nyimbo!!.. inawezekana kuna jamaa mtunzi kapiga pesa kwa wote wawili..hata hivyo na wao watakua mafalla wakigombea nyimbo mbovu kama hiyo