Timbulo amtumia salam Vanessa Mdee, amuambia kama alikuwa hamjui basi keshamjua

Status
Not open for further replies.
Wakishavaa mawigi, wakaweka rangi za kope, na angel faces wanakua kama jini basi wanahisi ni wazuri balaa lakini hamna kitu kabisa. Kunako 6x6 ndo bureee kabisa hamna lolote.
unafikiri ni wabovu? Shida n sisi tuuna waoverestimate😡😉🙁
 
Vanessa yupo sahihi kumtosa Timbulo kwa colabo, anatakiwa akaze mtoto wa kiume asitegemee lifti...kaza mpaka wao ndio wakutafute kwa colabo.

Na Vanesa anapaswa kuwa makini sana na njia anayotumia kukabiliana na Wasanii wenzake...hakuna haja yoyote ya kubinua mdomo kusema humjui msanii mwenzako.

Na maeneo kama haya huwa wanatumika mameneja/wakili kuwasiliana na muomba colabo ili kueleweshana.

Ukimjibu Msanii mwenzako mbovu unawaudhi wale wanaomshabikia bila sababu wakati uliweza tu kutumia busara na mambo yakaenda vizuri.
 
huyo jamaa ameimba nyimbo gani? samahani lakini
 
Lakini imesikika haijasikika
 
Huyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
Chura hana....duuhh...maajabu haya. ....hiyo credibility ya kuringa anaitoa wapi mtoto wa kike asiye na churaaaaa?...churaaaaaa mamaaaaa...mjini churaaaaaaaa sura hata meeeeeeeeee anayooooo.
 
Labda alikataa kutokana na hilo jina!! Eti Timbulo! Kuna majina yenye nguvu ya kuubeba u-star!! Siyo unajiokotea lijina lako huko dampo halafu unataka kuliweka kwenye kapu moja na u-star!! Vyote vitanuka! Sisemi atumie majina ya kizungu!!fanya utafiti utagundua mastaa wengi wenye majina ya kueleweka huwa wanakuwa tofauti,kuna majina yanaweza kubaki kwenye midomo ya mshabiki kwa muda mrefu hata ukiwa haupo juu! Kuna jina hata kama uko juu mtu anashindwa kulitamka! Wasanii wajitahidi kuja hata na hizo hizo stage names ila ziwe angalau zinatamkika!! Siyo tumbulo!! Kha!
 
Wanawake ukitaka colabo nae anahisi utamshindua nawachukia mademu wengi sana wa bongo fleva ila namkubali jide
 
Wakishavaa mawigi, wakaweka rangi za kope, na angel faces wanakua kama jini basi wanahisi ni wazuri balaa lakini hamna kitu kabisa. Kunako 6x6 ndo bureee kabisa hamna lolote.
Cheki huyu naye keshahamia kwenye ngono
 
Tatizo sio kukataa kolabo, tatizo ni lugha aliyotumia kukataa, ila Timbulo naye ajiamini sasa sio lazima kolabo ndio utoboe, maana alikuwa analia pia na msanii Malaika kumzingua
 
Wanawake wana vituko sana akienda kuhojiwa hata kwenye TV show flani basi utakuta kavalia ile minywele yao fake basi kila muda anaongea anairusha rusha nyuma anajiona mzungu[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatuponda sanaaa!!!
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…