Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
unafikiri ni wabovu? Shida n sisi tuuna waoverestimate😡😉🙁Wakishavaa mawigi, wakaweka rangi za kope, na angel faces wanakua kama jini basi wanahisi ni wazuri balaa lakini hamna kitu kabisa. Kunako 6x6 ndo bureee kabisa hamna lolote.
Yani anajifake fake kama mwanasesere vile.Vanessa mdee sindo yule anaimba anaomba kurogwa! Hivi nae anafanya mashauzi kwa lipi sasa jinsi alivyoji-fake fake ndo anaona ameula sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
umeona eehvannesa ni msanii wa kimataifa......sio kila kolabo ataikubali....af huyu jamaaa mtoto wa kiume analalamika....sana...kama amenyimwa mzigo.....
Lakini imesikika haijasikikaVanessa yupo sahihi kumtosa Timbulo kwa colabo, anatakiwa akaze mtoto wa kiume asitegemee lifti...kaza mpaka wao ndio wakutafute kwa colabo.
Na Vanesa anapaswa kuwa makini sana na njia anayotumia kukabiliana na Wasanii wenzake...hakuna haja yoyote ya kubinua mdomo kusema humjui msanii mwenzako.
Na maeneo kama haya huwa wanatumika mameneja/wakili kuwasiliana na muomba colabo ili kueleweshana.
Ukimjibu Msanii mwenzako mbovu unawaudhi wale wanaomshabikia bila sababu wakati uliweza tu kutumia busara na mambo yakaenda vizuri.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we kibokoHuyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
Naibu waziri wa AjiraVanessa mdee ndiyo nani!
Chura hana....duuhh...maajabu haya. ....hiyo credibility ya kuringa anaitoa wapi mtoto wa kike asiye na churaaaaa?...churaaaaaa mamaaaaa...mjini churaaaaaaaa sura hata meeeeeeeeee anayooooo.Huyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Huyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
Baada ya kuomba kolabo na mwanadada huyo na kuishiwa kutoswa baada ya Vanessa kusema hamjui, Timbulo baada ya ngoma yake aliyoshirikiana na Baraka inayoitwa usisahau kufanya vizuri amesema mwanadada huyo kwa sasa atakuwa keshamjua
Timbulo alishalalamikia wasanii wa kike na kudai wana mashauzi kwani wakiombwa kolabo wanakataa sababu ya umaarufu
Cheki huyu naye keshahamia kwenye ngonoWakishavaa mawigi, wakaweka rangi za kope, na angel faces wanakua kama jini basi wanahisi ni wazuri balaa lakini hamna kitu kabisa. Kunako 6x6 ndo bureee kabisa hamna lolote.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] unatuponda sanaaa!!!Wanawake wana vituko sana akienda kuhojiwa hata kwenye TV show flani basi utakuta kavalia ile minywele yao fake basi kila muda anaongea anairusha rusha nyuma anajiona mzungu[emoji23] [emoji23]