Timbulo amtumia salam Vanessa Mdee, amuambia kama alikuwa hamjui basi keshamjua

Timbulo amtumia salam Vanessa Mdee, amuambia kama alikuwa hamjui basi keshamjua

Status
Not open for further replies.
Huyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
Heeeh wewe, umejuaje??? Kwahiyo kiuno chake kimeungana na magoti!!!
 
Baada ya kuomba kolabo na mwanadada huyo na kuishiwa kutoswa baada ya Vanessa kusema hamjui, Timbulo baada ya ngoma yake aliyoshirikiana na Baraka inayoitwa usisahau kufanya vizuri amesema mwanadada huyo kwa sasa atakuwa keshamjua
Timbulo alishalalamikia wasanii wa kike na kudai wana mashauzi kwani wakiombwa kolabo wanakataa sababu ya umaarufu


huyo jamaa hajui kuimba anabahatisha tu,btw v nae ana mashauzi.
 
Huyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
Hahahha .. Nadhani hata Mungu ame smile kuona hii comment japo siyo nzuri.
 
Mwanamke mwembamba kama anaumwa, hana hata pa kushika eti "model" kweli utandawazi una mambo, hata wabaya nao siku hizi wanajiona wazuri, eti nao wanaringa.
Poo!
 
Vannesa ni Beyonce wanna be [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli kila shetani na mbuyu wake maana mimi chick dizaini ile hata 30 mins ziwezi kukaa nae naweza nikamchapa makofi kabisaaaa iwe shida.
 
Wasanii karibia wote hawapendani wala kusaidiana, wana ubinafsi na mashauzi mengi.
Wanawake wanafanana. Juzi tuu Vee alikua hajui kubana hata kwenye gari unakula leo hii eti nae amejua kuringa. Kwa utamu ni kalikua katam sasa hizi mambo zakujifanya mzungu kanaweza kakawa feki kweli
 
Huyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
Tako analo ila ndio tunaita FLAT SCREEN au BOMBAY STYLE
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom