Slim5
JF-Expert Member
- Jan 7, 2014
- 28,203
- 37,906
Ana ndala ndefu hiviVanessa mdee ndiyo nani!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana ndala ndefu hiviVanessa mdee ndiyo nani!
😀😀😀😀😀😀jux anamoyo kama cyo roho. Kijitu kama mua mkav pakushika amna ase mbaya kumpenda mtu kisa umaaluf. Ninachofaham kwa urka ya boys uwez miliki range alaf uje pewa pikpik. Yaan uwez miliki dem mwenye msambwanda alaf uje kupewa mifupa useme unampenda uongo mtupu, kwa tz aipo iyoVanessa mdee sindo yule anaimba anaomba kurogwa! Hivi nae anafanya mashauzi kwa lipi sasa jinsi alivyoji-fake fake ndo anaona ameula sana[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahaaaa mkuu umemaliza kila kitu [emoji23] [emoji23]😀😀😀😀😀😀jux anamoyo kama cyo roho. Kijitu kama mua mkav pakushika amna ase mbaya kumpenda mtu kisa umaaluf. Ninachofaham kwa urka ya boys uwez miliki range alaf uje pewa pikpik. Yaan uwez miliki dem mwenye msambwanda alaf uje kupewa mifupa useme unampenda uongo mtupu, kwa tz aipo iyo
Yaani niwekewe pale gmoney na vmoney naabeba g. Wewe mwanamke ujui cc tabia zetu mwanaume mwembamba anapenda mwanamke mwenye kujaa,au kunona japo c sana ila lazima aonekane tako kiuno na mengine,na mwanaume mnene anapenda dem mwembamba.Sisi wanaume tunajijua wenyewe tukiwaambia ukwel amtak acha tuwadanganye kila cku.Sikutegemea kama watu mtatokwa povu hivi, ukiona kidume anamponda sana demu ujue anamtamani na anajua hana namna ya kumpata
Mimi dume wewe, halafu mimi pia ni shabiki mzuri wa mizigo, but pamoja na hilo siwezi nikachagua ile takataka Giggy nikamuacha VannesaYaani niwekewe pale gmoney na vmoney naabeba g. Wewe mwanamke ujui cc tabia zetu mwanaume mwembamba anapenda mwanamke mwenye kujaa,au kunona japo c sana ila lazima aonekane tako kiuno na mengine,na mwanaume mnene anapenda dem mwembamba.Sisi wanaume tunajijua wenyewe tukiwaambia ukwel amtak acha tuwadanganye kila cku.
Najua uwezi ila mfano tupewe tuish nao miezi 6 utamtaman g. V makongolo kibao akuna pakushika pakashikika. Broo acha kabisaa kama ww unapenda mizigo basi lesen yako ndogo kwa watu kama cc tuliojaza kitabu saiz demu wa 60 bik ya 10 usitegemee nitamchagua vmoney.Mimi dume wewe, halafu mimi pia ni shabiki mzuri wa mizigo, but pamoja na hilo siwezi nikachagua ile takataka Giggy nikamuacha Vannesa
Hapo kwa Gigy Money weka Snura ndo naweza muacha VannesaNajua uwezi ila mfano tupewe tuish nao miezi 6 utamtaman g. V makongolo kibao akuna pakushika pakashikika. Broo acha kabisaa kama ww unapenda mizigo basi lesen yako ndogo kwa watu kama cc tuliojaza kitabu saiz demu wa 60 bik ya 10 usitegemee nitamchagua vmoney.
Af utakuta kanajiachiaaaa kwene video bila hata nguo....Huyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
Hii comment imefunga 2017.ha ha haHuyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!
Utaonaje na ww ni kipofu?Sijaona kosa la Vanessa..
Minywele feki pia wao wenyewe ni feki Ndio maana hata nyimbo zao ni feki. Yaan wamekaa kifekifeki tu.Wanawake wana vituko sana akienda kuhojiwa hata kwenye TV show flani basi utakuta kavalia ile minywele yao fake basi kila muda anaongea anairusha rusha nyuma anajiona mzungu[emoji23] [emoji23]
[emoji2] [emoji2] [emoji2] labda kapewa na mganga wakeLabda alikataa kutokana na hilo jina!! Eti Timbulo! Kuna majina yenye nguvu ya kuubeba u-star!! Siyo unajiokotea lijina lako huko dampo halafu unataka kuliweka kwenye kapu moja na u-star!! Vyote vitanuka! Sisemi atumie majina ya kizungu!!fanya utafiti utagundua mastaa wengi wenye majina ya kueleweka huwa wanakuwa tofauti,kuna majina yanaweza kubaki kwenye midomo ya mshabiki kwa muda mrefu hata ukiwa haupo juu! Kuna jina hata kama uko juu mtu anashindwa kulitamka! Wasanii wajitahidi kuja hata na hizo hizo stage names ila ziwe angalau zinatamkika!! Siyo tumbulo!! Kha!
Eti mzungu[emoji1] [emoji1]Wanawake wana vituko sana akienda kuhojiwa hata kwenye TV show flani basi utakuta kavalia ile minywele yao fake basi kila muda anaongea anairusha rusha nyuma anajiona mzungu[emoji23] [emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] aiseeHuyo dada nilimpenda zamani wakati yuko mtv!
Alikuwa orijino!
Ila siku hizi kawa too fake!
Bahati nzuri Mungu kujua hilo,akamnyima na tako!