Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 33,771
- 41,027
Who's the alternative? Or it's just Anybody But Kikwete (ABT)....
Kwa sababu mpaka sasa sijaona kiongozi yeyote aliyeonesha uongozi madhubuti na uliotukuka hususan ikija kwenye masuala ya ufisadi na muunganiko wake kwenye utawala mbovu vis avis utawala bora.
Oh well....
Mkuu Nyani Pinda, Mwandosya, Salim, ni presidential materials, they may not be as clean as we would like them to be, but i can comfortably say they are lesser devils than many.
Who's the alternative? Or it's just Anybody But Kikwete (ABT)....
Kwa sababu mpaka sasa sijaona kiongozi yeyote aliyeonesha uongozi madhubuti na uliotukuka hususan ikija kwenye masuala ya ufisadi na muunganiko wake kwenye utawala mbovu vis-a-vis utawala bora.
Oh well....
Who's the alternative? Or it's just Anybody But Kikwete (ABT)....
Kwa sababu mpaka sasa sijaona kiongozi yeyote aliyeonesha uongozi madhubuti na uliotukuka hususan ikija kwenye masuala ya ufisadi na muunganiko wake kwenye utawala mbovu vis-a-vis utawala bora.
Oh well....
Lets give credit where it is due. Mr. President knows how to move hearts. When people are busy discussing him here he is busy dishing our pipi (sweets). While people are complaining here he is bracing to konga-ring (touching) people's nyoyo (hearts) with an open online session on TBC1 tonight. Surely the Presider is 'mtu wa watu' - the man of the people! He is indeed the King of the Hearts. Its his strategy that works - both ways.
Lets give credit where it is due. Mr. President knows how to move hearts.
Kikwete anaweza kuwa na mapungufu yake ila ni imani yangu kuwa yeye pekee si tatizo wala chanzo cha tatizo. Siasa, sera tekelezi na magenge pinzani ndani ya chama tawala ndio tatizo letu kubwa. Kwa jinsi CCM kusivyokuwa shwari kwa sasa hata hayati baba wa taifa angepata taabu kuongoza jahazi hili.
Lets give credit where it is due. Mr. President knows how to move hearts. When people are busy discussing him here he is busy dishing our pipi (sweets). While people are complaining here he is bracing to konga-ring (touching) people's nyoyo (hearts) with an open online session on TBC1 tonight. Surely the Presider is 'mtu wa watu' - the man of the people! He is indeed the King of the Hearts. Its his strategy that works - both ways.
no!the guy is so clean,lakini ni output ya CORRUPT MANAGEMENTDr. Shein?
Niseme nini kisichojulikana? Alishinda kwa asilimia nyingi ya kura akijaza mioyo ya watanzania matumaini ya mwanzo mpya wa ujenzi wa taifa lao. Watu walitaraji mabadiliko. Walichopata badala yake ni mwendelezo wa sera ya uzembe, itikadi ya ufisadi na siasa za kubebana na ahadi za kuzugana. nchi yetu inastahili uongozi bora. Hatuitaji miaka mingine 5 ya viongozi walioshindwa. No 2nd term 4 kikwete. Yes i said it.
Mungu atajibu maombi,yes ameanza kujibu!
Mkuu MwKjj, heshima mbele! Tungependa kuona 3rd alternative. Makosa ya serikali hii yapo tumeyaona na tusingependa kuendelea katika hali hii.Niseme nini kisichojulikana? Alishinda kwa asilimia nyingi ya kura akijaza mioyo ya watanzania matumaini ya mwanzo mpya wa ujenzi wa taifa lao. Watu walitaraji mabadiliko. Walichopata badala yake ni mwendelezo wa sera ya uzembe, itikadi ya ufisadi na siasa za kubebana na ahadi za kuzugana. nchi yetu inastahili uongozi bora. Hatuitaji miaka mingine 5 ya viongozi walioshindwa. No 2nd term 4 kikwete. Yes i said it.
Kwa hili sipo ukurasa mmoja na wewe. Kikwete ni lazima aendelee, sababu ninazo.
1. Miaka 5 ya mwanzo ilikuwa ya kulipa fadhila kwa waliomuweka madarakani na hilo ameisha lifanya. Miaka mitano ya mwisho itakuwa ya kutengeneza legacy, hivyo ninaimani uswahiba utaisha
2. Miaka 5 ya mwanzo ilikuwa ni learning curve na sasa amefahamu vizuri kuwa urais si kuendeleza urafiki bali ni kufuata taratibu.
3. Miaka 5 ya mwanzo ilikuwa ya kujijenga ili jamaa wasimtose katika miaka 5 ya mwisho, hivyo ninatumaini kuwa miaka 5 ya mwisho itakuwa ni miaka ya kikwete mwenyewe si ya wanamtandao, kwani fadhila kishawalipa. Hivyo atakuwa serious zaidi katika kudeliver
4. Nina hakika ufisadi hautaendelea katika miaka 5 ya mwisho kwani hataangaliwa mtu sura, Kumbuka hotuba yake ya ufunguzi wa bunge?
Kwa kuwa raisi ni lazima atoke CCM kwa vyovyote (Tume ya uchaguzi ni yao, Polisi wao) hivyo lazima wajitangaze ni washindi hata wasipopigiwa kura. Kumbuka kuwa kwenye kila kituo kimoja cha kura cha halali kuna vituo "feki viwili" kwa kauli mbiu yao kuwa 80% ya watanzania wapo rural areas na huko CCM inapendwa kweli kweli. Hivyo basi ni lazima Kikwete aendelee, Kampeni zetu ziwe za kumshawishi huyu bwana sasa umefika wakati avae sura yake halisi yaani sura ya "J M Kikwete" aliyefunga akaunti ya Kighoma Malima yenye mabilioni bila woga. Tukiweza kumrudisha Kikwete huyu nina imani mafisadi watakuwa hawana nafasi. Kikwete ambaye washauri wake hawatakuwa kina Kingunge, Makamba, Lowassa, RO.
Vinginevyo hizi kempeni zitaishia kwenye mtandao na mafisadi wataona kuwa njia pekee ni kumueleza kuwa "Either you are with us or you are alone, because the other side doesn't like you either"