hitler2006
JF-Expert Member
- Sep 1, 2014
- 489
- 454
wadau kwa muda nimekua nikijiuliza mini maana ya muda..
nani alipanga sec,min,and hours nakosa jibu kabisa..
kwa mtazamo wangu...mpangilio wa nini cha kufanya ndo ulileta uwepo wa intervals kati ya tukio moja na jingine ...na hiyo interval ndo huitwa muda....BILA KUWEPO MATUKIO YENYE KUPEANA NAFASI HAKUNA MUDA kwa hiyo MTU anayekaa bila kufanya kazi hapotezi muda kwa sababu hakuna tukio naada ya tukio analofanya..KARIBUNI KWA MAONI ZAIDI