Time is ripe for Precisionair take over of the defunct Air Tanzania

Geza Ulole

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2009
Posts
65,136
Reaction score
91,917
Wajameni, lets put greedy aside and acknowledge the overwhemingly success Precision Air has had in the last 8 years! I know for some critics here will harshly crush out my advice, but wait a minute who knows better "the ways about" the Tanzania's aviation sector than Precision Air "the king himself"? In the span of 8 years this company has transformed to be a formidable force no one can challenge in this market otherwise if someone is ready to inject not less than US$ 300 mio. to rival its dominance! Who is ready to deposit that huge amount of money in a risky aviation industry like ours? No one but only those who have proven to survive the same industry even at turbulence times economically moreover in the environment where the Government was a competitor (trying to save the Air Tanzania) and not a facilitator! I do advice fellow Tanzanians lets not waste tax payers money on revamping the Airline esp. after Precisionair IPO, give the management of that company to Precisionair and transformation will follow! Wahenga walisema asiyekubali kushindwa si mshindani!
 
At least huo ushindani ungekuwa na usawa....Airtel mtaji wake wa asilimia 85 umetoka TTCL ...usipende kwenda chooni kabla hujasikia haja!
chunguza kwanza ndo usifu...
 
Unaropoka wewe wala hujui mambo ya nchi hii yanavyopelekwa kaa kimya kama hujui bora life kabisa kuliko kuja kuingia mikataba mibovu na kuiba mali za umma kwa jina la uwekezaji wa mitego
 
At least huo ushindani ungekuwa na usawa....Airtel mtaji wake wa asilimia 85 umetoka TTCL ...usipende kwenda chooni kabla hujasikia haja!
chunguza kwanza ndo usifu...
ushindani umekosa usawa upi? elezea...hapa namaanisha precisionair inunue Air Tanzania
 
cant u read btn the lines?
do you want to mean ati Air tanzania ina assets za maana? mnaumwa for sure, Air tanzania imebaki dilapilated majengo maana hata hizo ndege mbili ndogo walizonazo si mpya na moja wanadaiwa kuilipa haikuwa na insurance! hapa najaribu kusema kutopoteza jina ni bora Air Tanzania iuzwe 100% kwa Precisionair under condition iachwe i-revamp airline, mpk itakapoanza kuwa profitable then i-float shares to the public (<49%)!
 
Wajameni, lets put greedy aside and acknowledge the overwhemingly success Precision Air has had in the last 8 years! I know for some critics here will harshly crush out my advice, but wait a minute who knows better the way about the Tanzania's aviation sector than Precision Air "the king himself"? In the span of 8 years this company has transformed to be a formidable force no one can challenge in this market otherwise if someone is ready to inject not less than US$ 300 mio. to challenge the airline! Who is ready to deposit that huge money in a risky aviation industry? No one but only those who have proven to survive the same industry even at turbulence time economically moreover in the environment where the Government was a competitor (trying to save the Air Tanzania) and not a facilitator! I do advice fellow Tanzanians no time left to waste tax payers money on revamping the Airline esp. after Precisionair IPO, give the management of that company to Precisionair and do transformarion! Wahenga walisema asiyekubali kushindwa si mshindani!

Kuna msururu wa vigogo serikalini ambao ni owners wa PrecisionAir ambapo wakiongozwa na aliekuwa waziri wa miundombinu Basil Mramba walifanya makusudi kuia ATC ili Precision ipete. Hadi leo hii hawako tayari kuiona ATC inafufuka.
Is that fair game or fair competition?
ATC wakiwa injected na capital nzuri na wakapata management poa na siasa ikaekwa kando... bado wanao uwezo wa kuibeat PrecisionAir in a matter of days. Precisioair wanalielewa hilo. Wamshukuru mkuu wa kaya!! Hao PrecisionAir wenyewe nao wamebweteka mijidege yenyewe bado ya kizamani wamejaza mapropelor badala waende Seatttle wakachomoe B 777
 
Tanzania ni nchi kubwa sana
Na usafiri especially wa anga bado uko
Duni sana..... ni sawa kusifia procision Air ..

Itakuwa vema pia kuikuza Air Tanzania...
Tatizo letu ni hatuna competition .....

Kwa ujumla aviation industry hapa TZ
Bado tuko nyuma sana...
Tunahitaji more domestic airline, agriculture
Aircraft, (ukitaka kuweka dawa kwenye mashamba ya katani unasubiri mpaka
Hiyo Cessna ije kutoka Kenya ) helicopter (search and rescue au
Ni zitumike kama ambulance pia....

Muda wa kujisifia bado... .
 
Kuna msururu wa vigogo serikalini ambao ni owners wa PrecisionAir ambapo wakiongozwa na aliekuwa waziri wa miundombinu Basil Mramba walifanya makusudi kuia ATC ili Precision ipete. Hadi leo hii hawako tayari kuiona ATC inafufuka.
Is that fair game or fair competition?
ATC wakiwa injected na capital nzuri na wakapata management poa na siasa ikaekwa kando... bado wanao uwezo wa kuibeat PrecisionAir in a matter of days. Precisioair wanalielewa hilo. Wamshukuru mkuu wa kaya!! Hao PrecisionAir wenyewe nao wamebweteka mijidege yenyewe bado ya kizamani wamejaza mapropelor badala waende Seatttle wakachomoe B 777
Wacha wee ndio ilivyo rahisi namna hiyo kuongoza kampuni ya ndege kama kwenda kumzoa Mustapha Nyang'anyi na David Mataka kuja kupewa airline mtaendelea saana kuingiza hela kwenye kampuni hiyo (mtaji wa mafisadi)! Ukweli ni kwamba Precisionair hamna mshindani Tanzania na tena ngoja wauze shares DSE wanampango wa kununua ndege kubwa mpyaa Boeings (si za kukodi aka magumashi) si chini ya nane kwa kipindi cha miaka mitano ijayo! We kalaghabao ati Mramba aliiua ATC, mlitaka afanyaje aibebe kampuni isiyojibeba? katika soko huria ushindani unaruhusiwa tena ukiangalia vizuri waliilalia sana precisionair (mpk leo hawaruhusiwi kufanya ground handling ya partner wao i.e. Kenya Airways) ukumbuke kuna wakati SAA ilikuwa inang'ang'aniza eti isiruhusiwe kwenda routes ATCL jamaa wakalalamika kwenye vyombo vya usimamizi wa anga! ATCL wakatolewa nje! Jamani tuache kasumba za roho za korosho; Mnyonge mpeni haki yake Precisionair wamejitahidi tena katika ukanda wenye mashirika ya ndege yenye ushindani mkubwa ukumbuke EA ndio the most advanced aviation region in Sub Saharan Africa, kuna Ethiopia Airline, kuna Air Uganda, kuna Rwandair, kuna Fly 540, kuna un-accountable charter companies! Lakini Precisionair ime-weather them all out! Tuache vijiba wakuu!
 
Owners wa precisionair wanajulikana Kenya Airways 49% na Michael Shirima 51% hao vigogo unaosema wewe ndio wakina nani? si uwataje?
 
KLM walitaka deal ya kuingia ubia na ATC lakini kuna wachache serikalini ambao ni wamiliki wa PW kama Vuvuzela alivotonya walikataa kwa manufaa yao. KLM wakaenda kufanya deal na KQ. Imagine KLM wangeingia hiyo deal na ATL leo hii PW ingekuwa wapi? ATL ingekuwa wapi?
 
kipindi KLM inataka kupartner na Air Tanzania, PW haikuwepo! tuache uwongo na tusipotoshe mambo! PW imeanza kuwepo 1993 na KLM waliitaka ATC 1986s!
 
KLM waliendelea kuwa persistent na hiyo deal hadi walipo-give up in the 1990's. Walitaka KIA facility iwe ndio the largest KLM's hub in all Africa. Akina Mramba na wenzake walifanya hujuma zote hadi deal ika-collapse.
 
acha uongo Mramba amekuwa waziri kuanzia 2000, sasa hiyo deal alihusika nayo vp? au ndo mambo ya kumpaka matope jamaa kwa kila kitu? na kama issue ilikuwa kuzuia competitor then SAA basi isingeruhusiwa pia! Tuache kupotosha mambo PW imekuwapo hata kabla ya Mramba hajawa waziri! Hizo hearsays hazina maana tujaripu kuangalia ukweli upo wapi!
 
Wakenya ndio walioiua ATC baada ya kukimbiza ndege zote Nairobi wakati Shirikisho la Africa Mashariki linavunjika.
Haohao leo tena tuje tuwape ATCL yetu waiendeshe kupitia PW,
Kweli ''Mchawi mpe mwana alee''
 
Sawa mkuu may be wewe ndie unamajibu yote. Thanks
 
Wakenya ndio walioiua ATC baada ya kukimbiza ndege zote Nairobi wakati Shirikisho la Africa Mashariki linavunjika.
Haohao leo tena tuje tuwape ATCL yetu waiendeshe kupitia PW,
Kweli ''Mchawi mpe mwana alee''
uwongo mwingine kabla na wakati wa Shirikisho kulikuwa na East African Airways iliyokuwa inamilikiwa na nchi zoote wanachama yaani TZ, KE na UG! na hata shirikisho lilipokufa 1977 kukazaliwa mashirika matatu Air Tanzania, Air Uganda na Kenya Airways ambayo yoote yalisusua mbioni kufa mpk pale KLM ilipoenda ku-partner (kwa kuchukua 26%) na Kenya Airways mwaka 1995! sasa kipindi hicho Air Tanzania isingeweza kufanyika ukiritimba maana mashirika yoote yalikuwa yanasuasua! Tuache kulaumu wengine kwa uozo wetu!
 
Owners wa precisionair wanajulikana Kenya Airways 49% na Michael Shirima 51% hao vigogo unaosema wewe ndio wakina nani? si uwataje?

Mie nimesikia kwamba Kenya Airways (100%), Michael Shirima (0%) just standing around as non-executive director just for Political connection.
 
ohk kwa hiyo Brela nao wanadanganywa sio? labda huwezi jua maana rushwa za nchi hii ni Mungu anajua! lakini naona mabishano mengii ya hii topic yanakosa umakini na uelewa wa mambo! yaani ni majungu tu! sasa nashindwa kuelewa watanzania wanashindwa vp kuona tatizo la ATC ni ubabaishaji wa wanaopewa kuendesha shirika? unawezaje kumpa mtu kama Mataka aendeshe shirika hivi walishindwa kuiba technical personalities toka Ethiopia Airline au SAA au Kenya Airways? Au ndo zile roho za kwanini zinatufanya vipofu kuelekeza malawama yoote kwa Precisionair kwa vile tu imefanikiwa? mnasahau huyo founder wake alikuwa EA airways kama operation manager kwa hiyo alipoingia kwenye hiyo biashara alikuwa anajua nini anachofanya na pia muda ulikuwa muhafaka na hata pale alipoona ATC inauzwa SAA alikuwa mjanja ku-partner na Kenya Airways ili asimezwe! Lets give a guy a credit where its due! Nina wasi inawezekana watu kwa chuki zao humu ndani wanatamani hata kutopanda ndege za jamaa ila wanakosa jinsi! maana ndiyo National Carrier iliyobaki! hahah
 
Back
Top Bottom