"...Kikubwa amini MUNGU yupo ila usiamini MUNGU ambae wazungu wanamtumia kupata mali."[emoji117][emoji117][emoji117]nadhani hayo maneno yana maana tofauti sana na uhalisia.... Kuna maana nyingine tofauti nyuma ya haya maneno IN GOD WE TRUST"...Kikubwa amini MUNGU yupo ila usiamini MUNGU ambae wazungu wanamtumia kupata mali."
Unaweza kufafanua sentensi hii niliyoinukuu hapo? Una maana gani kusema, Mungu yupo ila usiamini Mungu ambae wazungu wanamtumia kupata mali?
Ndugu Mshana naomba nisikie mtazamo wako kwenye maneno haya: "IN GOD WE TRUST."Kuna maana nyingine tofauti nyuma ya haya maneno IN GOD WE TRUST
Tunaamini katika Mungu...! Hivi ndivyo nijuavyo mimi na kama ni kwa utashi wangu nimeongeza maneno Mungu mkuu ama Mungu mmoja... Kuna video nimeinakili YouTube hebu icheki kuhusiana na wanavyosema hayo maneno... I mean tuhumaNdugu Mshana naomba nisikie mtazamo wako kwenye maneno haya: "IN GOD WE TRUST."
sure mzeeSasa hapa nikagundua tumeyayushwa ufahamu wote wa mtu mweusi uhalisia wake kipindi black Egyptian wao ndio walikuwa watu wa kwanza kuanzisha utabibu duniani na upasuaji sio mimba wala nini sasa hawa watu weupe white foxes walikuwa wanakuja aftika na wanaomba wawafundishe mpaka leo ninavuo ongea black Egyptian concepts zinatumika kwenye nyanja ya utabibu na nyingine zinaelezea ukweli ambawo wazungu walitupotosha mwanzoni maana wao wamevopy na kupest mambo mengine ambayo walishindwa kuyasoma [emoji123][emoji117][emoji117][emoji117][emoji117][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji112][emoji112][emoji112][emoji112]
nitakuja mkuu"...Kikubwa amini MUNGU yupo ila usiamini MUNGU ambae wazungu wanamtumia kupata mali."
Unaweza kufafanua sentensi hii niliyoinukuu hapo? Una maana gani kusema, Mungu yupo ila usiamini Mungu ambae wazungu wanamtumia kupata mali?
mkubwa tulifundishwa darasani ya kwamba kuna wa missionary walikuja afrika kueneza neno la MUNGU kwa kila mtu ila je unajua ya kwamba afrika ilikuwa tayari ina mwamini MUNGU na walikuwa na dini zao tayari ila sasa mzungu alichofanya ni anahubiri na kuwapa maneno yatakayo lainisha mioyo yao na kuanza kuwa wakarimu kufanya kila kitu cha mzungu maana waliona wakitumia force ya kupigana kila siku italeta vifo kwao na kwetu mwishoe na kuleta hamasa kwenye jamii na hii ilikuja baada ya waafrika kusafishwa kila kitu kwenye bongo zetu (Brain washed)"...Kikubwa amini MUNGU yupo ila usiamini MUNGU ambae wazungu wanamtumia kupata mali."
Unaweza kufafanua sentensi hii niliyoinukuu hapo? Una maana gani kusema, Mungu yupo ila usiamini Mungu ambae wazungu wanamtumia kupata mali?
Mimi nilijua nguvu yetu baada ya kutoka nnje ya afrika nimekuta mambo tofauti kabisa hawana vitu kwa uhalisia tena si chakula labda wao wamejaliwa majengo marefu na barabara nzuri ila afrika bado ni halisiamkubwa tulifundishwa darasani ya kwamba kuna wa missionary walikuja afrika kueneza neno la MUNGU kwa kila mtu ila je unajua ya kwamba afrika ilikuwa tayari ina mwamini MUNGU na walikuwa na dini zao tayari ila sasa mzungu alichofanya ni anahubiri na kuwapa maneno yatakayo lainisha mioyo yao na kuanza kuwa wakarimu kufanya kila kitu cha mzungu maana waliona wakitumia force ya kupigana kila siku italeta vifo kwao na kwetu mwishoe na kuleta hamasa kwenye jamii na hii ilikuja baada ya waafrika kusafishwa kila kitu kwenye bongo zetu (Brain washed)
Hapa kwenye neno la MUNGU walilolitafsiri kivyao walituweza kwa asilimia zote maana tulikuwa tunafuata kila kitu wa missionary walikuwa wanabebwa juu juu kama wafalme yaani hamna kugusa chini ila hiyo ni mbinu inayotumika mpaka leo afrika fini kutu control kuna nchi hawataki kusikia roman muslim wala Lutheran kwa sababu wanajua nini nyuma ya hizo dini
Asilimia nyingi kila dini ina taasisi yake utakuja kama dini fulani ina system yake kushinda hata serikali yaani wanapata information za kila kitu mfano roman wana makao makuu yao huko Vatican kwahiyo intelligence yao ina siri za kila nchi ambapo kuna waumini na wanajua mambo wayapeleke vipi mfano halisi ni congo hapo dini gani iliyoleta amsha amsha mpaka wananchi wakaingia barabarani ukija na kwetu kila kukicha ni matamko sio lwamba nawabeza hapana ila hapa tunafunguana
Ndio maana unaona viongozi wa siasa ikifika mahali askofu au kiongozi mkubwa wa kanisa fulani kasema neno fulani huwa wanakaa au wanalisikiliza moja kwa moja kwasababu hao viongozi wa dini wanaaminiwa na waumini wao utaweza kuwa raisi ila askofu akisema kanisani raisi anafanya kitu moja mbili tatu utaenda hata kwenu lakini mtoto wa mjomba asikuamini tena kwasababu tulianza na walituweza kutuendesha kwa namna hiyo ya udini
Ndio maana kila kanisa lina chimbuko na makao makuu ukija kwa Anglican makao yake nadhani ni England ukija Lutheran ujerumani huko roma vatican huko islam maca (sijui kama nimeandika vizuri) kwahiyo hizi taasisi sio tuu za kidini wananufaika vitu vingi wanauwezo wa kuotoa jamii hofu na kuituliza jamii
Sijagusia mambo ya sadaka na sitotaka japo ndio ilitakiwa tuongee kutokana na nilivyo andika ila wewe na mimi ni wa afrika tujue asili yetu na kuna neni halisi la afrika lipo hadi kwenye hizi biblia ila wazungu wamesha tu brain wash ndio maana hatuna ufahamu nalo tena kikubwa amini MUNGU yupo ila sio kuhama makanisa kutafuta MUNGU wa kweli au kuhama dini ngoja tuongee hapa chini kitu kimoja
Ulishawahi jiuliza wale wazee wa zamani walikuwa hawaamini hizi dini ila kukitokea ukame wanakaa wanafanya mambo yao wanaomba na mvua inanyesha hiyo siku na kuna wazee 85+ mpaka lei hawaakini kanisa japo wanamuamini MUNGU na wanajua yupo na wanamuomba ila hatii mguu kanisani kila jumapili yaani ila wanamuamini MUNGU na mambo yanaenda wana nguvu kila kitu wewe kijana au baba fulani fikiri tuchekeche akili ni tanzania tuu ndio bado watu hawafuatilii uhalisia na chimbuko lao
ila nakuambia wanaoitwa wamarekani weusi kila siku wanarudi afrika kusaka asili yao kwasababu wameshaelewa nguvu ya mtu mweusi ilikuwaje karibu tuu itakuja tena rise of afrika yaani taifa letu sisi watu weusi ndio maana mzungu hataki tuwe nchi moja jiulize wewe hapo china na ukubwa wote zile ni province zilizo ungana kutoka dainest moja hafi nyingine na mwisho ikapatikana china ya leo na walikuwepo wa missionary pia kipindi hicho wanapambana mpaka likawa taifa moja marekani nayo ni muunganiko wa states mbalimbali ulaya nayo ndio hiyo wanaiunganisha alafu hawataki afrika tuungane nakwambia leo mimi si mtabiri ila baada ya muunganiko wa kila pande afrika itachukua kijiti chake
Ndio maana wanafanya ya kwao haraka ili watuzime sisi unaona kila siku brexit inavunjwa inakwamishwa sisi tumeduwaa pale wanataka wamalize yao alafu wakwamishe yetu wewe mweusi tambua chimbuko lako usikae kuduwaa
Mimi nilijua nguvu yetu baada ya kutoka nnje ya afrika nimekuta mambo tofauti kabisa hawana vitu kwa uhalisia tena si chakula labda wao wamejaliwa majengo marefu na barabara nzuri ila afrika bado ni halisia
I LOVE OUR BLACK CONTINENT I LOVE ALKEBULAN NOT AFRICA THAT THEY CALL US
Ni ngumu.. Ni mpaka tupeleke maombi kwa uongozi na yakubaliwe kisha tusubiri maboresho... Lakini kwa uzoefu wangu ndani ya JF... Uongozi mara nyingi sio SIKIVU kwa maombi kama haya na sometimes wakikujibu shukuru Mungu... Labda tunachoweza kufanya ni kuwa na mada maalum ya Asili ya Afrika na waafrika...kaka mshana hivi kwa ajili gani kusiwe na jukwaa la chimbuko la afrika hapa jamii forum watu wakaelezwa ukweli na sisi tuanze kuwa na ufahamu
ni kwamba wengi wetu bado hatujafahamu chimbuko letu halisi maana tunafundishwa au tulifundishwa vitu ambavyo viliandikwa na waliorufuta kila kitu vichwani mwetu laikini ni suala la muda muitikio utakuwa mkubwa kama weusi wenzetu walio marekaniNi ngumu.. Ni mpaka tupeleke maombi kwa uongozi na yakubaliwe kisha tusubiri maboresho... Lakini kwa uzoefu wangu ndani ya JF... Uongozi mara nyingi sio SIKIVU kwa maombi kama haya na sometimes wakikujibu shukuru Mungu... Labda tunachoweza kufanya ni kuwa na mada maalum ya Asili ya Afrika na waafrika...
Nimejaribu mara nyingi kuchokoza mada ili kuamsha uafrika wetu lakini nyingi hazikuwa na maisha... Nitaziweka hapa.. Na za wengine pia kama hii hapa
hii safi sanaJe, Wajua ma-Pharao wa Misri wana asili ya Afrika Mashariki na hawana uhusiano wowote na waarabu?
KING TUT. Kwa sisi tulio wengi tumeaminishwa kupitia mafundisho ya vitabu vya watu weupe, yaani wazungu na waarabu, kuwa ma-Pharaoh wa Misri walikuwa ni watu wenye asili kama ya kwao ,yaani weupe, na kwamba ma-pyramid yalijengwa na jamii iliyokuwa na maendeleo ya hali ya juu sana na haiwezekani...www.jamiiforums.com
Naomba nisieleweke kama naandika kukejeri, kudharau au namna nyingine ya kutoheshimu.mkubwa tulifundishwa darasani ya kwamba kuna wa missionary walikuja afrika kueneza neno la MUNGU kwa kila mtu ila je unajua ya kwamba afrika ilikuwa tayari ina mwamini MUNGU na walikuwa na dini zao tayari ila sasa mzungu alichofanya ni anahubiri na kuwapa maneno yatakayo lainisha mioyo yao na kuanza kuwa wakarimu kufanya kila kitu cha mzungu maana waliona wakitumia force ya kupigana kila siku italeta vifo kwao na kwetu mwishoe na kuleta hamasa kwenye jamii na hii ilikuja baada ya waafrika kusafishwa kila kitu kwenye bongo zetu (Brain washed)
Naomba nisieleweke kama naandika kukejeri, kudharau au namna nyingine ya kutoheshimu.
Tatizo kubwa ninaloliona ni ELIMU na kisha, UELEWA. Hii inatokana na mambo mawili makuu: moja, Wafrika hatutaki KUJIFUNZA, pili Wafrika hatufanyi UTAFITI.
Wafrika hatujifunzi, wala hatutaki kujifunza. Maisha tunayoishi ni yale yale: babu - baba - mtoto - mjukuu. Ni watu wa kung'ang'ania mambo.
Wafrika hatufanyi utafiti. Huwezi kujua ukweli wa mambo bila kufanya utafiti. Wafrika hatuchunguzi mambo.
Kwa mfano, elimu rasmi tunayosoma mathalani historia na uraia, tumefanya utafiti kujua ukweli wake? Au tunapokea tu?
Kati ya mambo ambayo mimi kwa mtazamo wangu nayaona ni ya HOVYO - BURE ni hii dhana au mawazo kwamba, Afrika - Wafrika tulikuwa/ tuna DINI yetu. Huu ni upumbavu na ni kosa kubwa mno!
Kama tungekuwa tunajua dini ni nini tusingeshikilia ujinga huu.
Labda, tujiulize: dini ya Mwafrika ni ipi? Mwanzilishi wake ni nani? Na kwa vipi dini ya Mwafrika inatofautiana na dini ya Kikristo?
Jiulize pia, kwa mfano, Yesu ni dhahiri hakuwa Mzungu. Lakini kwanini mataifa ya Ulaya na Marekani yanamfuata na kumshikilia yeye?
Lakini pia, kama ni kuhusu dini za asili, unafikiri Wazungu - Ulaya, Amerika, hawakuwa na dini za asili kama ilivyo kwa Wafrika - Afrika?
Kando na hapo, kuna vitu hivi: SERIKALI na KANISA - DINI.
Kanisa ndiyo linajua maisha ya mwanadamu: mwanzo wake na hatima yake, wapi anaelekea. Hii maana yake ni kwamba, mfumo wa maisha ya mwanadamu: maadili, ndoa, uzazi na uchumi unatengenezwa na Kanisa - dini, huku serikali wajibu wake ni kusimamia tu - ulinzi.
Kama Wafrika hatutabadilika na kuacha uongo hakuna kitu maadili, maarifa, teknolojia uchumi au maendeleo kitakuwepo.
Tukubali kujifunza, tufanye utafiti kwenye mambo ya msingi: dini, elimu na historia tutapata ukweli. Hapo ndiyo tutajikomboa.
Mawazo ya kufikiri na kuona jamii nyingine isiyo Mwafrika kama ndiyo waharibifu, ni makosa makubwa sana.
Hawa wazungu ni jamii ya dunia. Wafrika pia wanaishi duniani - ni jamii ile ile. Kwa vipi utakwepa ukweli huu, kwamba Wazungu si sehemu ya jamii yetu wakati tunaishi dunia moja?
Katika kuishi jambo la kuzingatia ni kujua jamii yako. Usipozingatia na kuelewa jamii yako hakuna utakachofanya katika maisha: maadili na elimu, maendeleo na uchumi.
Ni vema tusipotoshe, hata kama baadhi yatu tunanufaika na mfumo huu ovu. Madhara yake ni makubwa - muda utafika hatutaweza kuyalipa.
Mkuu, sijui kama nitaeleweka Ila naomba unielewe,Niliwahi kuandika hapa mada hii https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/972760/
Kuna vitu wenzetu huviona nasisi hatuvioni... Wanatushangaa mbona hatuoni wanavyoona tunawashangaa kuwa wamepata wendawazimu
Je, ni kweli kuwa vichaa wana jicho la tatu?
Naamini wote tuna ufahamu wa kutosha kuhusu jicho la tatu, kuona yasiyoonekana katika macho ya kawaida na kusikia pia ikiwemo na ufahamu wa yajayo. Vichaa ni watu waliodharaulika katika jamii wana majina yote mabaya hawaogi ni wachafu wananuka hawana faida yoyote kuwa na ndugu kichaa ni msiba ...www.jamiiforums.com
Uko sahihi kabisa... Ndio maana baadhi huuita bhangi sacred [emoji263] weed.. Bhangi hufunua ufahamu uliozingwa na elimu bandia ikiyojaa makandokando mengiMkuu, sijui kama nitaeleweka Ila naomba unielewe,
Mara ya kwanza kuvuta bangi kuna kitu kilinitokea, Nilikua naelekea kuwa kichaa(mwendazimu) Yaani kwa maneno mengine nilikua mwehu kwa muda wa masaa kadhaa
Kitu nilochokua napitia ni, kuona matukio ya nyuma sana enzi nikiea na miaka 12 _ 15. Sauti za watu na matukio ambayo sikuwahi kuuakumbuka ila nikayaona na nilivyofuatilia nikagundua ni matukio ya kweli.
Nakubaliana na hoja ya kuwa wendazimu wanaona au kusikia tusioyaona na kuyasikia.
hatari sana kakaIla kuna mahali naona tuna shida kidogo hebu ona hii... Nimeipata mahaliView attachment 1204266