Time travel na ufunuo wa ufufuko

Hapana yuko hapa hapa nchini akiendelea na majukumu yake.. Bukheri wa afya kabisa
Muono wako?unataka kutuaminisha imani mpya?hebu safiri tena ujue jiwe alipo nasikia yupo korea kaskazini kuaguliwa kisulisuli ni kweli?tuambie mkuu!!!
 

Jr[emoji769]
 
Time travel
One of very interesting topic ambayo inakufanya uwaze dunia kwa marefu na mapana yake. Kwa uelewa wa juu juu tu mtu anaweza kuona kama ni fiction fulani hivi ambayo haiwezekani lakini there is something behind juu ya ishu ya Time Travelling.

Hii ishu nimeiona kwenye movie ya Mr.Peabody and Sherman ambayo walikuwa wanatumia Time Machine kwenda kwenye past mbalimbali mfano French Revolution ya mwaka 1789.

Ancient Egypt ( LAND OF THE PHARAOHS) -1332 B.C, na Florence, Italy home of Leonardo Da'vinci 1508 na sehemu nyingine lakini walikuwa na uwezo wa kurudi present kutokea Way Back kwa kutumia Time machine.

Kama ulivyojaribu kuelezea sio kitu kirahisi kwa kukitolea maelezo tu.
 
Kama ulivyojaribu kuelezea sio kitu kirahisi kwa kukitolea maelezo tu.[emoji736][emoji817] ni ngumu sana kwakweli
 
Nina swali endapo ni nje na mada kwanini mungu na shetani wamekuwa wakijihusisha Sana na matendo ya mwanadamu kwani hakuna vyengine vya kufanya...?
Hope ulikuwa unamaanisha Mungu/MUNGU na si mungu right?
Tambua Mungu/MUNGU ni watu(personalize) viwili tofauti.
 
Unaonekana ni mtu unayependa kudadisi mambo. Lakini kuna kitu bado hujakifahamu vizuri, ndio maana uandishi wako unaacha maswali yasiyo na majibu. Nenda kasome dhana ya "Quantum physics ,hii ina majibu ya maswali yako yote. But ili uelewe Quantum Physics, lazima kwanza uwe na msingi wa classical physics. All in all quantum physics is magical
 
Asante kwa hili nadhani uko sahihi kwa parameters fulani.. Ni vema sasa ukanigaiya maarifa hapa ya kile unachokijua ili mimi na wengine tupate kuelimika zaidi
Ni kweli kabisa mimi sijui yote na sijui kila kitu ila nina uthubutu na utayari wa kuchokoza mada.. Kishapo baada ya hapo wajuzi wengine huja kuinogesha mada[emoji1545]
 
Quantum physics
 
kuna mda huwa nikifanya kitu huwa nahisi nilishawahi kukifanya kabla huwa ni nini hii mr mshana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…