Time travel na ufunuo wa ufufuko

Nguvu hai isiyoonekana kwa macho wala kuwa na ithibati za kisayansi bali matokeo yake
Safi... Umeelekea kwenye nguvu ufahamu je wanao...?
Ikiwa Kama mungu na sifa zake zote unafikiri tunafaidanae gani ktk haya maisha ikiwa yeye katuumba tuishi na tufe nabaadae mbinguni au motoni tunafaidika Nini na hayo...?
Na yeye anafaidika Nini kwa uwepo wetu,pia kwa wale waendao motoni au peponi..?
 
Hii iko kiimani zaidi kuliko intelligence naomba nijibu maswali yako haya kwenye mada itakayojitegemea... Nitafanya hivyo kwa ajili yako lakini nitaomba pia usaidizi wa Nundu_Tanzania
 
Ulichoandika ni moja ya mambo ambayo imekuwa kama Taboo kwa baadhi ya watu kulingana na imani zao kujadili lakini lazima kijadiliwe kwa kuwa kipo. Babu yangu alikuwa mwalimu wa dini alikuwa mkufunzi kwenye moja ya vyuo vya kanisa la AIC baada ya kufariki mimi nilijirithisha vitabu vyake kati ya vitabu kimoja kinaitwa THE LIFE AFTER DEATH chapisho la kwanza 1912 kina kurasa chache sana kama 65 lakini yaliyondikwa ndio yalinifikirisha sana ni wazi kuwa suala la mauti NI kama imeamuliwa kutofundishwa kwa waumini kwani yangeleta mkananyikona hivyo pengine kupunguza ufuasi kumbuka mafundisho mengi ya dini nyingi ni kuhusu maisha baada ya kifo..... Kwa mujibu wa kitabu hiki mtu akifa huendelea kuishi ila huwa amebadili form anakuwa kama ilivyo vitu usivoona lakini vipo kama upepo gas na vinginevyo
[/QUOTE]
 
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji144][emoji144][emoji144][emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Nliwahi kua na rafiki mmoja wa kike, yeye alikua na mizimu ya kimila, kuna wakati alikua kama mwehu kufikia hatua wana ndugu walikua wakimfunga kamba na kumfungia chumbani kwa funguo.

Ila maajabu yalikua, wakimfunga kamba kisha kumfungia chumbani na kufunga milango yote ya nyumba, wakitoka nje ya nyumba wanamkuta kaishatoka hata kabla yao. Hawajui katoka vipi. Na wakirudi ndani ya nyumba wanakuta bado milango yote imefungwa vizuri.
 
Niliwahi kuandika hapa mada hii https://www.jamiiforums.com/index.php?threads/972760/

Kuna vitu wenzetu huviona nasisi hatuvioni... Wanatushangaa mbona hatuoni wanavyoona tunawashangaa kuwa wamepata wendawazimu

 
Nafatilia sana,mabandiko yako....."Waafrika kuna maarifa tulipokwa.. Turudi kwetu tuanze upya.. Tutaushangaza ulimwengu " Tafadhali fafanua kidogo
Kwa mujibu wa historia iliyoshindikana kabisa kuchakachulika mwafrika ndio binadamu mkongwe zaidi na inasemekana ndio binadamu wa kwanza kuumbwa... Kwahiyo huyu ndio chanzo ndio asili na ndio awali
Awali ni awali tu haiwezi kushindwa na upili... Maarifa mengi kuhusiana na huu ulimwengu yana asili na Africa na waafrika... Ila kuna kitu kilitokea hapo kati tukazidiwa maarifa tukapokwa cha kwetu na kupewa maarifa ya kulazimishwa... Yasiyo na tija, ubunifu wala uvumbuzi mpya...
Elimu yetu ya kiroho ambayo ndio kama engine ya dunia ikapewa jina la Forbidden education... Tukaumbiwa kuamini na kuaminishwa vitu tusivyo na asili navyo... Tukafunzwa kuisoma na kuitukuza sayansi kama ndio hekima, ndio elimu ndio uvumbuzi na ufumbuzi.... Lakini sayansi bila roho (nishati) si lolote si chochote ni mfu kama jiwe
 
View attachment 1197597[/QUOTE]..... Kwa mujibu wa kitabu hiki mtu akifa huendelea kuishi ila huwa amebadili form anakuwa kama ilivyo vitu usivoona lakini vipo kama upepo gas na vinginevyo

 
Asante,nimekuelewa..Turudie Uafrika wetu...
 
 
Asante kwa kuja... Naomba Sema neno sasa kwenye mada hii... Natambua unalo la kuchangia hapa asante
 
Mada zako nyingi hazina uhishio.. . Zina Mwanzo na kati tu....

Nimekua nikijifunza kuhusu Time travellers.... But umeigusia Kidogo Sana na ukaendelea na hoja zako za kila siku....
 
Mada zako nyingi hazina uhishio.. . Zina Mwanzo na kati tu....

Nimekua nikijifunza kuhusu Time travellers.... But umeigusia Kidogo Sana na ukaendelea na hoja zako za kila siku....
Ni kwa vile sio za mmu siasa au chitchat labda... Lazima zikuachie homework ya kufikirisha ubongo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…