Time travelling kusafiri mbele au nyuma ya muda inawezekana?

Ivi wakuu Kuna uwezekano wa kua na time travel without parallel universe
 
Top lemon bei gani?
 
Time travel yah IPO kwenda mbele ya muda lala then ukiamka kesho utakuwa umekwenda future
Ukitaka kurudi back kaaseemu tuliivu vitapicha ya matukio ya Jana so apo utakuwa umecheza pande zote za time line
ZAIDI YA HAPO NI UZUSHI
 
Time travel yah IPO kwenda mbele ya muda lala then ukiamka kesho utakuwa umekwenda future
Ukitaka kurudi back kaaseemu tuliivu vitapicha ya matukio ya Jana so apo utakuwa umecheza pande zote za time line
ZAIDI YA HAPO NI UZUSHI
😂😂😂😂😂😂😂😃
 
Hakuna time traveling ila kuna kusafiri kkimiujiza
Mfano unatoka Dar to Mwanza bila gari, wala nini ni unafumba macho na kufumbua

Sent from my ZTE BLADE A512 using JamiiForums mobile app
 
Kipo toka moshi saa 12am endamwanza ukifika 8pm iyo no Time travel
 
Time travel ipo ila niyakurudi nyuma ya wakati siyo kwenda mbele ya wakati ...genias sibahatishi
 
Matukio yamenakiliwa kwenye mwanga ndiyo maana unatakiwa kwenda kwa speed zaidi ya mwanga ili kurudisha nyuma hiyo VHS ...TUMIA AKILI
 
Umetudsnganya ukirudi nyuma ya wakati uwezi kurekebisha chochote bali unaweza kutumia kurudi kwako nyuma ya wakati kujua matukio yali kwenda je kama cctv unavyo itumia baada ya kuibiwa mali yako na aujui ni nani kakuibia hivyo unakwenda kwenye cctv na kupata majibu nini kilitokea
 
Wacha ujinga wewe uliza tukuelimishe
 
i understand but kama hauna background nzuri ya physics no matter how hard mtu atakuelezea ni ngumu sana kuelewa kwa sababu ni kitu kigumu sana kukiweka into practical, but theorotically it is ok
Mbona rahisi sana kumuelezea mtu hata mtoto wa cheke chea 😁
 
Swali - Kwani dunia tunayoishi ni hii hii ya ulimwengu huu au kuna madunia mengine nje ya ulimwengu huu? Labda Kuna dunia nyingine wapo mbele yetu au nyuma yetu kimaisha.
 
Matukio yamenakiliwa kwenye mwanga ndiyo maana unatakiwa kwenda kwa speed zaidi ya mwanga ili kurudisha nyuma hiyo VHS ...TUMIA AKILI
punguza movie soma nakala sahihi.
 
punguza movie soma nakala sahihi.
Tumia akili ..mfano upo duniani leo ukatazama angani ukaona nyota ya mbali sana inalipuka basi upo uwezekano hiyo nyota ililipuka miaka mingi iliyopita ila wewe ndiyo unaona mlipuko leo ..maana yake kama kwenye hiyo nyota kungekuwa na binadamu labda wanaishi na wewe kutizama na darubini yenye nguvu kuwa hadi kuwaona hao binadamu leo ujue hicho unachokiona ni kitu kilicho tokea miaka kadhaa nyuma ...mbona ni mahesabu ya distance and time and speed tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…