Time up for cheating spouses


...duh, hii ni noma we acha, kwakuwa "she" anaweza akawa anatumia Condom hivyo traces za Semen zikakosekana kwenye U-hupi! Wakati huo huo, ukiyasikia matokeo ya test za 'Voluntary' DNA match, yanajionyesha (asilimia kubwa) wababa wengi wamekuwa wanalea watoto sio wao!

Huenda hiyo Kit na DNA tests zikapunguza wanaofanya 'ngono' zembe!
 

Haya mambo ya kufuatilia nyendo za mume/mke kila sekunde yataharibu ndoa nyingi badala ya kuziendeleza. Hebu fikiria mume/mke anayetakiwa atumie hicho kidubwasha ili kuhakikisha kwamba hajapata uroda mahali atakapojisikia. Ndiyo yale yale ya njemba zinazowavua chupi wake zao ili kufanya inspection kali kwenye nyeti ikiwamo ya kunusa ili kuhakikisha wake zao hawajapata uroda katika pita pita zao au makazini kwao.

Hata kama siyo cheater basi anaweza kuamua kuwajoin macheaters. Binadamu ni wajanja sana wanaweza kucheat na bado hicho kidubwasha kisione ndani. Kumbukeni...kuku ukimchunguza sana......
 

BAK hiyo red nimeipenda sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…