Timeline Ya Matukio Muhimu Ya YANGA SC Kuelekea Fainali Ya NGAO YA HISANI.

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
July 12:

Contract extensions for:-
Abdallah Shaibu - 1 Year (Ends in 1 July, 2023)
Fiston Mayele - 2 Years (Ends in 11 July, 2024)
Dickson Ambundo - 1 Year (Ends in 28 June 2023)

July 13 - 15:

Completing introduction of new recruitments
Joyce Lomalisa & Stephane Aziz KI.

July 16 - 18:
Kuwaaga wachezaji 2 zaidi wa kimataifa tulio kuwa nao kwa msimu uliopita.

July 18 - 19:

Kuwasili kwa wachezaji kutoka mapumziko na kujiunga kambini AVIC TOWN.

July 20 - 30:
Kulamilikwa na kutangazwa rasmi kwa jezi mpya za Mabingwa wa muda wote na Mara nyingi wa LigiKUU Tanzania Bara.

August 01 - 05:
Kutangazwa kwa mdhamini mpya kwa klabu na dau jipya la kihistoria afrika mashariki na kati.

August 06 - 08:
Kilele cha siku ya Mwananchi.

August 09 - 12:
Kambini kwa ajili ya maandalizi ya August 13.

August 13:
Kufanya kile tunachokifanya kwa ajili ya furaha ya Wananchi wa Tanzania.

August 14:
Hafla na Tafrija fupi ya kusheherekea ushindi wa kombe la “NGAO YA HISANI” ya August 13.
 
Nimekwama hapo tar 14 August
 
God bless Yanga Sc
 
Wale vilaza wa umbumbuni bado wamekomaa na mayele kuuzwa kaiser chiefs, awajui mwenye uamuzi wa kuuza au kutokuuza ni wamiliki wake ambao ni yanga, Awajui Kama mayele yupo yanga mpaka 2024, wamebaki kubweka Kama mbwa kichaa, wanamuogopa mayele Kama risasi sijui aliwafanya nini?
 
Nimefurahishwa na hii kambi ya ndani. Muhimu tu kuwepo na mechi za kutosha za maandalizi kabla ya msimu mpya kuanza.
 
Kila la kheri Wananchi.. furaha yangu tar 13.8 ni kuona tunampasua Kolo kwa mara nyingine tena
 
July 12:

Contract extensions for:-
Abdallah Shaibu - 1 Year (Ends in 1 July, 2023)
Fiston Mayele - 2 Years (Ends in 11 July, 2024)
Dickson Ambundo - 1 Year (Ends in 28 June 2023)

July 13 - 15:

Completing introduction of new recruitments
Joyce Lomalisa & Stephane Aziz KI.

July 16 - 18:
Kuwaaga wachezaji 2 zaidi wa kimataifa tulio kuwa nao kwa msimu uliopita.

July 18 - 19:

Kuwasili kwa wachezaji kutoka mapumziko na kujiunga kambini AVIC TOWN.

July 20 - 30:
Kulamilikwa na kutangazwa rasmi kwa jezi mpya za Mabingwa wa muda wote na Mara nyingi wa LigiKUU Tanzania Bara.

August 01 - 05:
Kutangazwa kwa mdhamini mpya kwa klabu na dau jipya la kihistoria afrika mashariki na kati.

August 06 - 08:
Kilele cha siku ya Mwananchi.

August 09 - 12:
Kambini kwa ajili ya maandalizi ya August 13.

August 13:
Kufanya kile tunachokifanya kwa ajili ya furaha ya Wananchi wa Tanzania.

August 14:
Hafla na Tafrija fupi ya kusheherekea ushindi wa kombe la “NGAO YA HISANI” ya August 13.
Fainali ya ngao ya jamii?? Huu mpira mna upenda lakini hamuujui
 
Hapo kwenye August 14, rekebisha ratiba huko kote imekaa vizuri kasoro hapo🤣
 
Hapa Utopolo inajidhihirisha bado inaendeshwa kiholela. Ligi imeisha wiki 3 zilizopita na kama ilivyokuwa mwaka jana mmeshindwa kupeleleka team pre season.
 
Nimekwama hapo tar 14 August
Kwa busara kabisa hii bora waiondoe kwenye ratiba.

Isije ikawa kama yule mwanamuziki alieahidiwa contract ya kwenda kufanyakazi Botswana, akaandaa sherehe ya kuuaga umasikini akaalika na wanamuziki wenzake. Kabla kuondoka dili likabuma. Akaendelea na msoto wake hapa hapa Bongo.
Wenzake wakamtungia wimbo. Ilikuwa mwishoni mwa 80s au mwanzoni mwa 90s.
 
Nimefurahishwa na hii kambi ya ndani. Muhimu tu kuwepo na mechi za kutosha za maandalizi kabla ya msimu mpya kuanza.
Hapa ndio pagumu, kupata timu zitakazotoa upinzani wa maana na hivyo kuleta maana halisi ya "kujipima"
 
Back
Top Bottom