demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,292
- 15,250
July 12:
Contract extensions for:-
Abdallah Shaibu - 1 Year (Ends in 1 July, 2023)
Fiston Mayele - 2 Years (Ends in 11 July, 2024)
Dickson Ambundo - 1 Year (Ends in 28 June 2023)
July 13 - 15:
Completing introduction of new recruitments
Joyce Lomalisa & Stephane Aziz KI.
July 16 - 18:
Kuwaaga wachezaji 2 zaidi wa kimataifa tulio kuwa nao kwa msimu uliopita.
July 18 - 19:
Kuwasili kwa wachezaji kutoka mapumziko na kujiunga kambini AVIC TOWN.
July 20 - 30:
Kulamilikwa na kutangazwa rasmi kwa jezi mpya za Mabingwa wa muda wote na Mara nyingi wa LigiKUU Tanzania Bara.
August 01 - 05:
Kutangazwa kwa mdhamini mpya kwa klabu na dau jipya la kihistoria afrika mashariki na kati.
August 06 - 08:
Kilele cha siku ya Mwananchi.
August 09 - 12:
Kambini kwa ajili ya maandalizi ya August 13.
August 13:
Kufanya kile tunachokifanya kwa ajili ya furaha ya Wananchi wa Tanzania.
August 14:
Hafla na Tafrija fupi ya kusheherekea ushindi wa kombe la “NGAO YA HISANI” ya August 13.