Times fm{100.5} na Antivirus ya Vinega

Times fm{100.5} na Antivirus ya Vinega

leo sugu atakuwepo times mida ya saa mbili tune yo radio upate info vinega sio kama kalapina anapewa laki anasanda
 
tangu lini Times..walifanya Show ikajaza watu?....

Sio lazima kila shoo wafanye wafu fm mbona epic nation ya zantel wapo ea radio na inafanya fresh sisi vinega tutawaonyesha kuwa tunaweza kuandaa show times iko juu hao wanajifanya ndo tbc na miaka yao 50
 
Nendeni mkapimwe akili wote mnaowashabikia vinega.
 
Hivi raisi atapewa version ipi ya antivirus.. Iliyoeditiwa au ipi???
 
Back
Top Bottom