“Timing Belt” inatakiwa kubadilishwa baada ya kilometer ngapi au muda gani? Na utajuaje

Bakulutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2011
Posts
2,557
Reaction score
1,787
Hii kitu sijui kama wengi wanaifikiria , nataka kujua inabadilishwa baada ya KM ngapi na utajuaje inatakiwa kubadilishwa manake nasikia madhara yake ikikatika ni mabaya sana.

Pia kama ilikuwepo uliangiza japani labda gari ina milage ya 1350000 utajuaje ilibadilishwa ?
 
Kibongo bongo hadi uone water pump haipeleke maji kwenye engine[emoji28][emoji28]
 
Hii kitu sijui kama wengi wanaifikiria , nataka kujua inabadilishwa baada ya KM ngapi na utajuaje inatakiwa kubadilishwa manake nasikia madhara yake ikikatika ni mabaya sana.

Pia kama ilikuwepo uliangiza japani labda gari ina milage ya 1350000 utajuaje ilibadilishwa ?
What is the average life of a TIMING BELT ?
It's important to replace your timing belt at the mileage intervals your vehicle manufacturer recommends. Every manufacturer is different, but typically, it needs to be replaced every 60,000–100,000 miles (96,560.66 - 160,934.43 KM).
 
Hii kitu sijui kama wengi wanaifikiria , nataka kujua inabadilishwa baada ya KM ngapi na utajuaje inatakiwa kubadilishwa manake nasikia madhara yake ikikatika ni mabaya sana.

Pia kama ilikuwepo uliangiza japani labda gari ina milage ya 1350000 utajuaje ilibadilishwa ?
Kawaida ni baada ya km 100,000. Ila hizi timing belt za kariakoo badili hata baada ya km 30,000.
 
Hivi mkuu huwa hakuna warning yoyote kutoka kwa dashboard kuwa life span ya timing belt imeisha?
cha ajabu gari za zamani kabisa ilikuwa inawaka inaonesha maandishi ya orange 'T-Belt' ukikaribia muda wa kubadili. Ila magari ya sasa hivi mengi hayana. VW nyingi sana hapa Bongo zinakata timing belt na ikikata hio kitu marekebisho yake ni gharama sana. Kuna baadhi ya gari za Toyota hata timing belt ikikatika haileti madhara
JituMirabaMinne anaweza kujua ni engine gani.
 
Kwa Dar unatakiwa kubadilishwa hata kabla ya recommended distance maana gari linakaa mno silence kuliko kutembea. KUMBUKA hata engine nyingine ambazo hazitembei zina timing belt lakini hazina Dashboard ya kuangalia distance Wala hazina speedometer

Sent from my Infinix X656 using JamiiForums mobile app
 
cha ajabu gari za zamani kabisa ilikuwa inawaka inaonesha maandishi ya orange 'T-Belt' ukikaribia muda wa kubadili. Ila magari ya sasa hivi mengi hayana. VW nyingi sana hapa Bongo zinakata timing belt na ikikata hio kitu marekebisho yake ni gharama sana. Kuna baadhi ya gari za Toyota hata timing belt ikikatika haileti madhara
JituMirabaMinne anaweza kujua ni engine gani.

Aiseee tena nimewahi kuandika mahali... Bahati mbaya nimetafuta sijapaona.

Nilikuwa nazungumzia ishu za watu kushusha mileage kwenye dashbord. Na nikashauri mtu akinunua gari basi abadili timing belt.

Maana ukute mtu gari ilikuwa na 130k ikaja kushushwa mpaka 40k. Wewe utatemebea mpaka usubiri ifike 150k ndo useme unabadili. Hapo lazima ikatike tu.

Kwa gari nyingi ni usizidishe 150k.
 
recommended n 100k km but uwe na uhakika n genue part kama n hizi za kuokoteleza better ujiongeze mapemaaaa kwa gari zinaotoka Japan huwa zina service schedule ya gari ktk card ila ukichukua kwa mgongo kuwa makini hasa hasa km una dought na mailage
 
Aiseee tena nimewahi kuandika mahali... Bahati mbaya nimetafuta sijapaona.

Nilikuwa nazungumzia ishu za watu kushusha mileage kwenye dashbord. Na nikashauri mtu akinunua gari basi abadili timing belt.

Maana ukute mtu gari ilikuwa na 130k ikaja kushushwa mpaka 40k. Wewe utatemebea mpaka usubiri ifike 150k ndo useme unabadili. Hapo lazima ikatike tu.

Kwa gari nyingi ni usizidishe 150k.
Sorry kiongozi hivi timing belt/chain ya mark 2 gx 100 inakwendaje ?

Na ya gari ndogo kama vitz ina range kiasi gani kununua ?
 
Aiseee tena nimewahi kuandika mahali... Bahati mbaya nimetafuta sijapaona.

Nilikuwa nazungumzia ishu za watu kushusha mileage kwenye dashbord. Na nikashauri mtu akinunua gari basi abadili timing belt.

Maana ukute mtu gari ilikuwa na 130k ikaja kushushwa mpaka 40k. Wewe utatemebea mpaka usubiri ifike 150k ndo useme unabadili. Hapo lazima ikatike tu.

Kwa gari nyingi ni usizidishe 150k.
Nataka na mm nishushe mileage kabla sijauza Gari langu inagharimu Bei gani? Bila kushusha mileage kuuza Gari nongo utasumbuka sana
 
Kwa gari za mjapani hakuna shida hata ikikatika gari itazima tu. Shida ni za mjerumani, ikikatika ukokwenye mwendo itakugharimu kubadili vitu vingi sana.
 
Sio zote mkuu! Kuna za aina mbili. Interference na Non-Interference. Hizi interference ni kimeo. Timing belt ikikata valves zinagusana na piston. Balaa lake sio la kitoto.

Hizo non-interference ndio unazoongelea wewe. Ikikata hakuna shida.
 
Back
Top Bottom