“Timing Belt” inatakiwa kubadilishwa baada ya kilometer ngapi au muda gani? Na utajuaje

“Timing Belt” inatakiwa kubadilishwa baada ya kilometer ngapi au muda gani? Na utajuaje

cha ajabu gari za zamani kabisa ilikuwa inawaka inaonesha maandishi ya orange 'T-Belt' ukikaribia muda wa kubadili. Ila magari ya sasa hivi mengi hayana. VW nyingi sana hapa Bongo zinakata timing belt na ikikata hio kitu marekebisho yake ni gharama sana. Kuna baadhi ya gari za Toyota hata timing belt ikikatika haileti madhara
JituMirabaMinne anaweza kujua ni engine gani.
Ni kweli. Siku hizi nyingi wameweka kwenye "Infortainment system". Ila bahati mbaya tunanunua used zenye lugha tusiyoelewa.

So dawa ni kucheza na mileage tu.
 
Nataka na mm nishushe mileage kabla sijauza Gari langu inagharimu Bei gani? Bila kushusha mileage kuuza Gari nongo utasumbuka sana
hahahaha.....njoo nikushushie na nikusimange kdgo kwa biashara ya ubabaifu
 
Hii kitu sijui kama wengi wanaifikiria , nataka kujua inabadilishwa baada ya KM ngapi na utajuaje inatakiwa kubadilishwa manake nasikia madhara yake ikikatika ni mabaya sana.

Pia kama ilikuwepo uliangiza japani labda gari ina milage ya 1350000 utajuaje ilibadilishwa ?
Kilometer laki moja na ikianza kuchoka taa ya check engine itakuwa inawaka na kuzima kila baada ya muda fulani
 
Hii kitu sijui kama wengi wanaifikiria , nataka kujua inabadilishwa baada ya KM ngapi na utajuaje inatakiwa kubadilishwa manake nasikia madhara yake ikikatika ni mabaya sana.

Pia kama ilikuwepo uliangiza japani labda gari ina milage ya 1350000 utajuaje ilibadilishwa ?
Timing belt itakiwa kubadilishwa gari ikifika 100,000 KM, unatakiwa usome pale mbele wanakuandikia ilibadilishwa lini
 
Kwa gari za mjapani hakuna shida hata ikikatika gari itazima tu. Shida ni za mjerumani, ikikatika ukokwenye mwendo itakugharimu kubadili vitu vingi sana.
Vitu vingi sana kama vipi? Tafadhali vitaje kama unavifahamu au nawewe ni wale wa kusikia tu
 
Gari itakuwashia taa ya check engine , inaweza kuwaka na kuzima mara kwa mara.

Kama uko vema gari ukishaagiza badili tu hiyo timing belt mapema ili kuepuka service za kipuuzi.
 
Back
Top Bottom