RugambwaYT
JF-Expert Member
- Jan 11, 2014
- 1,397
- 1,899
Ni kweli. Siku hizi nyingi wameweka kwenye "Infortainment system". Ila bahati mbaya tunanunua used zenye lugha tusiyoelewa.cha ajabu gari za zamani kabisa ilikuwa inawaka inaonesha maandishi ya orange 'T-Belt' ukikaribia muda wa kubadili. Ila magari ya sasa hivi mengi hayana. VW nyingi sana hapa Bongo zinakata timing belt na ikikata hio kitu marekebisho yake ni gharama sana. Kuna baadhi ya gari za Toyota hata timing belt ikikatika haileti madhara
JituMirabaMinne anaweza kujua ni engine gani.
So dawa ni kucheza na mileage tu.