What is the average life of a TIMING BELT ?Hii kitu sijui kama wengi wanaifikiria , nataka kujua inabadilishwa baada ya KM ngapi na utajuaje inatakiwa kubadilishwa manake nasikia madhara yake ikikatika ni mabaya sana.
Pia kama ilikuwepo uliangiza japani labda gari ina milage ya 1350000 utajuaje ilibadilishwa ?
Hii ni drive belt.Kibongo bongo hadi uone water pump haipeleke maji kwenye engine[emoji28][emoji28]
Kawaida ni baada ya km 100,000. Ila hizi timing belt za kariakoo badili hata baada ya km 30,000.Hii kitu sijui kama wengi wanaifikiria , nataka kujua inabadilishwa baada ya KM ngapi na utajuaje inatakiwa kubadilishwa manake nasikia madhara yake ikikatika ni mabaya sana.
Pia kama ilikuwepo uliangiza japani labda gari ina milage ya 1350000 utajuaje ilibadilishwa ?
Hivi mkuu huwa hakuna warning yoyote kutoka kwa dashboard kuwa life span ya timing belt imeisha?Kawaida ni baada ya km 100,000. Ila hizi timing belt za kariakoo badili hata baada ya km 30,000.
cha ajabu gari za zamani kabisa ilikuwa inawaka inaonesha maandishi ya orange 'T-Belt' ukikaribia muda wa kubadili. Ila magari ya sasa hivi mengi hayana. VW nyingi sana hapa Bongo zinakata timing belt na ikikata hio kitu marekebisho yake ni gharama sana. Kuna baadhi ya gari za Toyota hata timing belt ikikatika haileti madharaHivi mkuu huwa hakuna warning yoyote kutoka kwa dashboard kuwa life span ya timing belt imeisha?
cha ajabu gari za zamani kabisa ilikuwa inawaka inaonesha maandishi ya orange 'T-Belt' ukikaribia muda wa kubadili. Ila magari ya sasa hivi mengi hayana. VW nyingi sana hapa Bongo zinakata timing belt na ikikata hio kitu marekebisho yake ni gharama sana. Kuna baadhi ya gari za Toyota hata timing belt ikikatika haileti madhara
JituMirabaMinne anaweza kujua ni engine gani.
Sorry kiongozi hivi timing belt/chain ya mark 2 gx 100 inakwendaje ?Aiseee tena nimewahi kuandika mahali... Bahati mbaya nimetafuta sijapaona.
Nilikuwa nazungumzia ishu za watu kushusha mileage kwenye dashbord. Na nikashauri mtu akinunua gari basi abadili timing belt.
Maana ukute mtu gari ilikuwa na 130k ikaja kushushwa mpaka 40k. Wewe utatemebea mpaka usubiri ifike 150k ndo useme unabadili. Hapo lazima ikatike tu.
Kwa gari nyingi ni usizidishe 150k.
Nataka na mm nishushe mileage kabla sijauza Gari langu inagharimu Bei gani? Bila kushusha mileage kuuza Gari nongo utasumbuka sanaAiseee tena nimewahi kuandika mahali... Bahati mbaya nimetafuta sijapaona.
Nilikuwa nazungumzia ishu za watu kushusha mileage kwenye dashbord. Na nikashauri mtu akinunua gari basi abadili timing belt.
Maana ukute mtu gari ilikuwa na 130k ikaja kushushwa mpaka 40k. Wewe utatemebea mpaka usubiri ifike 150k ndo useme unabadili. Hapo lazima ikatike tu.
Kwa gari nyingi ni usizidishe 150k.
30000 mchina original 60- mpaka 70k.Sorry kiongozi hivi timing belt/chain ya mark 2 gx 100 inakwendaje ?
Na ya gari ndogo kama vitz ina range kiasi gani kununua ?
I can't helpNataka na mm nishushe mileage kabla sijauza Gari langu inagharimu Bei gani? Bila kushusha mileage kuuza Gari nongo utasumbuka sana
Unethical!I can't help
Ukipata mteja anaejua gari atanunua.Nataka na mm nishushe mileage kabla sijauza Gari langu inagharimu Bei gani? Bila kushusha mileage kuuza Gari nongo utasumbuka sana
Hahahahaha kwa kasumba ya wabongo huyo mteja utasubiri sana! Mtu yupo radhi anunue gari mbovu ikiwa ni namba D ila aache gari ambayo iko kwenye excellent condition kisa ni namba C!Ukipata mteja anaejua gari atanunua.
Sio zote mkuu! Kuna za aina mbili. Interference na Non-Interference. Hizi interference ni kimeo. Timing belt ikikata valves zinagusana na piston. Balaa lake sio la kitoto.Kwa gari za mjapani hakuna shida hata ikikatika gari itazima tu. Shida ni za mjerumani, ikikatika ukokwenye mwendo itakugharimu kubadili vitu vingi sana.