daydreamerTZ
Senior Member
- Sep 26, 2020
- 146
- 233
1. mtaji unaandika brela ni estimation zako TU boss, lkn tambua hizo details baadhi ya taasisi za serikali nazo zinaona, so mfano ukaweka 1bn wakati wa kukadiriwa Kodi tra, huwezi estimate kwa 5mNaomba kuuliza kidogo
1. Mfano nna 5mil je nna weza sajili kampuni nikaweka iwe na mtaji wa 1bilion?
2. Je minimum shares mtu anaweza kuwa nazo kwenye kampuni ni ngapi? Ikiwa kampuni ni wamiliki wawili?
3. Je mwaka wa kulipa kodi ya kampuni ni mwaka wa serikali au mwaka wa kampuni i.e. tokea kampuni iundwe?
1. siku tatu za kazi1.kwahiyo leseni inachukua muda gani kuipata kutoka brela
2.na vipi kuhusu usajili wa kampuni brela online
3,na vipi nikitaka kuwa kampuni zaidi ya moja.lakini mwekezaji ni mimi yuleyule usajili wake ukoje??
asante sana mkuu,ntawacheck ngoja nijipange1. siku tatu za kazi
2. siku tatu za kazi
3. inawezekana mkuu, chamsingi wamiliki wawe wawili na kuendelea, pia unaweza fungua kampuni ambayo itakuja miliki kampuni nyinginezo
namba yenu ya simu mkuukaribu boss
0629706263namba yenu ya simu mkuu