ngoshwe JF-Expert Member Joined Mar 31, 2009 Posts 4,131 Reaction score 937 Jun 24, 2011 #1 Timoth Apio Katibu mkuu mstaafu haoa TBC1 akidadavua vita ya uganda.japo amechoka lakini yu serious na mwenye kumbukumbu tele
Timoth Apio Katibu mkuu mstaafu haoa TBC1 akidadavua vita ya uganda.japo amechoka lakini yu serious na mwenye kumbukumbu tele
bullet JF-Expert Member Joined Oct 31, 2009 Posts 1,047 Reaction score 543 Jun 24, 2011 #2 Mzee Apio kweli ana kumbukumbu kali. Kazeeka sana lakini anamkumbuka kila mtu kwa jina na kazi aliyokua akifanya. Nimempenda sana. Anasema sikio lake moja halisikii sababu ya milio ya simu alizokuwa akipokea toka,mstali wa mbele.
Mzee Apio kweli ana kumbukumbu kali. Kazeeka sana lakini anamkumbuka kila mtu kwa jina na kazi aliyokua akifanya. Nimempenda sana. Anasema sikio lake moja halisikii sababu ya milio ya simu alizokuwa akipokea toka,mstali wa mbele.