Timoth Apio na vita ya uganda

Timoth Apio na vita ya uganda

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Timoth Apio Katibu mkuu mstaafu haoa TBC1 akidadavua vita ya uganda.japo amechoka lakini yu serious na mwenye kumbukumbu tele
 
Mzee Apio kweli ana kumbukumbu kali. Kazeeka sana lakini anamkumbuka kila mtu kwa jina na kazi aliyokua akifanya. Nimempenda sana. Anasema sikio lake moja halisikii sababu ya milio ya simu alizokuwa akipokea toka,mstali wa mbele.
 
Back
Top Bottom