GE2025 Timothy Cleopa ajitosa kuwania nafasi ya ubunge Jimbo la Kilosa, mkoani Morogoro

GE2025 Timothy Cleopa ajitosa kuwania nafasi ya ubunge Jimbo la Kilosa, mkoani Morogoro

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Mjumbe wa Baraza la Uwakilishi wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi (UVCCM) Wilaya ya Kilosa, Timothy Cleopa Cossan, amejitosa kuwania nafasi ya ubunge katika Jimbo la Kilosa, mkoani Morogoro.

Amesema nia yake ni kuwa sehemu ya kufungua milango kwa vijana kunufaika na fursa zinazopatikana kupitia miradi mbalimbali ya maendeleo katika jimbo hilo, pamoja na kusimamia vyema fedha za utekelezaji wa miradi hiyo.
1751376396208.png
 
Back
Top Bottom