Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Timothy Weah, huyu ni raia wa marekani ila kwa kuzaliwa ,ila baba ake ni raia wa Liberia, Huyu Timothy ni mtoto wa rais wa Liberia ila leo mtoto wake aliitetea Marekani katika kombe la Dunia2022.
Timothy ambaye pia ni mtayarishaji wa muziki (Producer) ila hii kazi ufanya kwa muda wake kozi ni kitu ambacho anakipenda so akimaliza kusakata kambumbu ujikita studio au nikupe hit ambazo ashatengeneza.
Mjadala ni huu, mtoto wa rais anawezaje kucheza mpira na kwanini hakujikita labda kwa siasa daah hii ni moja kati ya kitu kinachofikirisha sana na huyu kijana ni kijana wa kuigwa mtoto anajipambania ategemei cha baba kuwa ni mkuu wa nchi.
Je, kwa bongo inaweza kutokea hii aah☝️😁😁😁
Kwa bongo haiwezekani.
Baba akiwa mwenyekiti mtoto lazima awe katibu
Blessing nyingi kwa @Timothyweah
Ubarikiwe sana umetupatia Elimu.
Imeandaliwa na @kimodomsafi_ ✍
#tabataworkout