Ivi aziz K atakuepo??Wydad mdebwedo wale nani kawapeleka huko, si wataoga mvua ya magoli
Huyu alichukua kombe mara moja ndani ya miaka 4 na Al ahaly mara 3 E Tunic na sandowns wameenda kwa point kwa kibebwa na al ahlyBara la Afrika itawakilishwa na timu nne katika mshindano ya klabu bingwa dunia ambapo mechi ya kwanza kwa timu kutoka Afrika itakuwa kati ya Manchester City dhidi ya Wydad.
View attachment 3366947
View attachment 3366948
View attachment 3366949
View attachment 3366950