Timu 4 kutoka Afrika kushiriki Klabu Bingwa Dunia

DuaZaMama

JF-Expert Member
Joined
Jun 2, 2025
Posts
1,882
Reaction score
4,153
Bara la Afrika itawakilishwa na timu nne katika mshindano ya klabu bingwa dunia ambapo mechi ya kwanza kwa timu kutoka Afrika itakuwa kati ya Manchester City dhidi ya Wydad.



 
Wydad mdebwedo wale nani kawapeleka huko, si wataoga mvua ya magoli
 
Sisi simbwa mbona hatumo? Au Hersi katubania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…