Timu 5 zilizocheza kombe la shirikisho msimu uliopita zimetinga group stage ya caf champions league kwa kishindo

Mkandaji

New Member
Joined
Oct 1, 2023
Posts
1
Reaction score
4
Ni yule tu mwenye utindio wa ubongo anaweza akaendelea na wimbo wa "kombe la shirikisho lilikuwa na timu dhaifu" kwa timu 5 zilizocheza kombe ilo kutinga group stage kwa kishindo na kuziondoa zile zilizocheza klabu bingwa msimu ulioisha!

Na zimeingia kwa ushindi wa 100% na sio ushindi wa "Mungu saidia".

Kitu icho kinadhihirisha ubora wa timu husika hivyo heshima iwepo na ichukue mkondo wake!
 
Darasa La Vilaza pia linakuwa na Wa Kwanza na Wa mwisho anakuwepo...!

Kule Shirikisho wote ni Vilaza...! Kwani timu yako ilicheza kule msimu uliopita?
 
Wewe sio tu una mtindio wa ubongo. UNA UGONJWA WA AKILI PIA
 
Naunga mkono hoja 👍👏
 
Haupo vizuri katika kutoa taarifa
Ingefaa kama ungehitimisha kwa kuzitaja timu hizo 5

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…