Timu aliyotoka Augustine Okrah (Bechem) haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF

Utopolo habari za wewe, usingizi umeisha wa kukesha ili kusubiri kumtambulisha huyo mtoto wenu? we nahisi bado unasinzia.

Ok, nisome kwa makini, tena ukawaambie na wenzako, kwenye football tunatazama stats za mchezaji husika ili tuujue uwezo wake.

Hatuangalii timu aliyotoka imewahi kushiriki mashindano yapi, au kama unahamu ya kujua Okrah amejaa experience ya kutosha, nenda pale Sudan waulize miamba wawili wa nchi hiyo, Al Merreikh na Al Hilal watakupasha habari.
 
Simba ASIPOCHUKUA KOMBE LA LIGI MSIMU UJAO NIPIGWE BAN YA MWAKA MZIMA.
Maxence Melo Active Moderator
Utapigwa BAN ya kujitakia kqbisa! Mpaka achukue simba, bingwa mtetezi Yanga amehamia ligi ya wapi?

Na kwa taarifa yako huo msimu ujao wenyewe, hiyo timu yako itashika nafasi ya 3! Maana mshindi wa pili atakuwa ni Azam Fc.
 
Basi nabadili mtazamo.

SIMBA ASIPOCHUKUA KOMBE LA LIGI MSIMU UJAO NIPIGWE BAN HADI SIMBA ATAKAPOCHUKUA KOMBE TENA!!
 
Utopolo habari za wewe, usingizi umeisha wa kukesha ili kusubiri kumtambulisha huyo mtoto wenu? we nahisi bado unasinzia.

Ok, nisome kwa makini, tena ukawaambie na wenzako, kwenye football tunatazama stats za mchezaji husika ili tuujue uwezo wake.

Hatuangalii timu aliyotoka imewahi kushiriki mashindano yapi, au kama unahamu ya kujua Okrah amejaa experience ya kutosha, nenda pale Sudan waulize miamba wawili wa nchi hiyo, Al Merreikh na Al Hilal watakupasha habari.
Sawa mkuu
 
Back
Top Bottom