Gordian Anduru
JF-Expert Member
- Apr 16, 2021
- 369
- 747
Naam Bechem United haijawahi kushiriki mashindano yoyote ya CAF na mafanikio yake makubwa ni kuchukua kombe la FA la nchi yao (kama ASFC hapa Bongo).
Timu aliyotoka Aziz Ki Asec imewahi hata kuchukua kombe la africa kabisa mwaka 1998 na kubeba super cup yake 1999.
Utapigwa BAN ya kujitakia kqbisa! Mpaka achukue simba, bingwa mtetezi Yanga amehamia ligi ya wapi?Simba ASIPOCHUKUA KOMBE LA LIGI MSIMU UJAO NIPIGWE BAN YA MWAKA MZIMA.
Maxence Melo Active Moderator
ni ya 75 wakati bechelem haipo kabisa hata kwenye rankNa nyie utopolo mna timu yenu ni ya ngapi Afrika kwenye rank za caf?
Haina hadhi ya mtibwa,mtibwa kachukua ligi kuu mara mbili na alishashiriki shirikisho,hiyo timu ina hadhi ya Dodoma jiji fc.Ina maana katoka timu inayofanana na Mtibwa kwa huku
Sisi hatujasajili timu tumesajili mchezaji
Ina maana katoka timu inayofanana na Mtibwa kwa huku
Da Joy na figirimana nao vipi?Nyoni Mahereni na Oprah ni wachezaji wenye uwezo sawa
Utapigwa BAN ya kujitakia kqbisa! Mpaka achukue simba, bingwa mtetezi Yanga amehamia ligi ya wapi?
Na kwa taarifa yako huo msimu ujao wenyewe, hiyo timu yako itashika nafasi ya 3! Maana mshindi wa pili atakuwa ni Azam Fc.
Sawa mkuuUtopolo habari za wewe, usingizi umeisha wa kukesha ili kusubiri kumtambulisha huyo mtoto wenu? we nahisi bado unasinzia.
Ok, nisome kwa makini, tena ukawaambie na wenzako, kwenye football tunatazama stats za mchezaji husika ili tuujue uwezo wake.
Hatuangalii timu aliyotoka imewahi kushiriki mashindano yapi, au kama unahamu ya kujua Okrah amejaa experience ya kutosha, nenda pale Sudan waulize miamba wawili wa nchi hiyo, Al Merreikh na Al Hilal watakupasha habari.
Ni kama ilivyo kwa KI na ZawadiNyoni Mahereni na Oprah ni wachezaji wenye uwezo sawa
Usiifananishe Mtibwa na vitu vya ajabuIna maana katoka timu inayofanana na Mtibwa kwa huku