MTAZAMO JF-Expert Member Joined Feb 8, 2011 Posts 19,675 Reaction score 33,583 Jul 20, 2022 #41 Msimu huu Simba ina kikosi bora kuliko wakati wowote tangu dunia iumbwe [emoji846]
Gordian Anduru JF-Expert Member Joined Apr 16, 2021 Posts 369 Reaction score 747 Jul 20, 2022 Thread starter #42 SAGAI GALGANO said: Na Yanga mko nafasi gani kwenye rank za CAF? Ingependeza zaidi kama ungeficha ujinga wako Click to expand... YANGA NI YA 75 CAF RANKING BECHELEM HAIPO
SAGAI GALGANO said: Na Yanga mko nafasi gani kwenye rank za CAF? Ingependeza zaidi kama ungeficha ujinga wako Click to expand... YANGA NI YA 75 CAF RANKING BECHELEM HAIPO
SAGAI GALGANO JF-Expert Member Joined Nov 13, 2009 Posts 47,706 Reaction score 69,281 Jul 20, 2022 #43 Gordian Anduru said: YANGA NI YA 75 CAF RANKING BECHELEM HAIPO Click to expand... Hapo ndiyo ukilaza wako unapothibitika,kwani Simba wamesajili mchezaji au club? Hii mijadala mingine mkishiriki mnajivua nguo tu.
Gordian Anduru said: YANGA NI YA 75 CAF RANKING BECHELEM HAIPO Click to expand... Hapo ndiyo ukilaza wako unapothibitika,kwani Simba wamesajili mchezaji au club? Hii mijadala mingine mkishiriki mnajivua nguo tu.