Timu ambayo naipenda kutoka Ligi ya Uingereza....Ila ujumbe hapo begani ni mtihani kwa nchi yetu.

tatum

JF-Expert Member
Joined
Jan 16, 2018
Posts
5,786
Reaction score
4,491

Naipenda sana Arsenal toka kipindi kile cha akina Tom Adam na David Seaman........lakini huo ujumbe begani mwa Ozil mmmh ndo naona Wizara yetu ya Mali ya Asili na Utalii wanatakiwa kuufanyia kazi.
 
View attachment 908900

Yaani wewe huna akili ya kutambua majukwaa ya JF? Habari ya Michezo unaweka siasa, habari ya mapenzi unaweka habari na hoja. Pitia majukwaa ya JF ujofunze matumizzi
 
Kuna mtu humu amesema mtu ambae hajajiunga jf anajuaga huku jf members wote ni ma'jiniasi' kumbe asalaleee teh teh.
 
Yaani wewe huna akili ya kutambua majukwaa ya JF? Habari ya Michezo unaweka siasa, habari ya mapenzi unaweka habari na hoja. Pitia majukwaa ya JF ujofunze matumizzi
Ualimu wako wa matusi duu wanafunzi wako wanapata shida sana.....
 
Mkuu umelala sana sisi hayo mambo tulishayafanya tangu 2010 kwa timu mbalimbali pale EPL kama Sunderland na nyinginezo ngoja nkutafutie picha nkuletee uonehttps://www.jamiiforums.com/index.php?threads/70957/
Nakumbuka sana je impact yake kuna tathimini imefanyika kujua hilo...au jamaa zetu walipiga tu na tutafukua kumbukumbu za nyuma tuone kama gharama zilikuwa za kweli au kuna watu walipiga ...na Nyarandu ndo huyooooo kambimbia kambi tutamfuata huko huko aliko kama ikithibitika kuna dosori.
 
Jaribu kucheki hapa impact imeonekana kweli,maana utalii watanzania umetangazwa kwenye viwanja na timu kubwa za uingereza nadhani hata flow ya watalii kuja nchini imeongezeka kwa sasa from 2010 up to now
 
View attachment 908900

Naipenda sana Arsenal toka kipindi kile cha akina Tom Adam na David Seaman........lakini huo ujumbe begani mwa Ozil mmmh ndo naona Wizara yetu ya Mali ya Asili na Utalii wanatakiwa kuufanyia kazi.
Kagame aka PK ni shabki namba 1 wa Gunners, usishangae.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…