Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaani wewe huna akili ya kutambua majukwaa ya JF? Habari ya Michezo unaweka siasa, habari ya mapenzi unaweka habari na hoja. Pitia majukwaa ya JF ujofunze matumizziView attachment 908900
Naipenda sana Arsenal toka kipindi kile cha akina Tom Adam na David Seaman........lakini huo ujumbe begani mwa Ozil mmmh ndo naona Wizara yetu ya Mali ya Asili na Utalii wanatakiwa kuufanyia kazi.
😀😀😀😀Yaani wewe huna akili ya kutambua majukwaa ya JF? Habari ya Michezo unaweka siasa, habari ya mapenzi unaweka habari na hoja. Pitia majukwaa ya JF ujofunze matumizzi
Kuna mtu humu amesema mtu ambae hajajiunga jf anajuaga huku jf members wote ni ma'jiniasi' kumbe asalaleee teh teh.Yaani wewe huna akili ya kutambua majukwaa ya JF? Habari ya Michezo unaweka siasa, habari ya mapenzi unaweka habari na hoja. Pitia majukwaa ya JF ujofunze matumizzi
Nakumbuka sana je impact yake kuna tathimini imefanyika kujua hilo...au jamaa zetu walipiga tu na tutafukua kumbukumbu za nyuma tuone kama gharama zilikuwa za kweli au kuna watu walipiga ...na Nyarandu ndo huyooooo kambimbia kambi tutamfuata huko huko aliko kama ikithibitika kuna dosori.Mkuu umelala sana sisi hayo mambo tulishayafanya tangu 2010 kwa timu mbalimbali pale EPL kama Sunderland na nyinginezo ngoja nkutafutie picha nkuletee uonehttps://www.jamiiforums.com/index.php?threads/70957/
Jaribu kucheki hapa impact imeonekana kweli,maana utalii watanzania umetangazwa kwenye viwanja na timu kubwa za uingereza nadhani hata flow ya watalii kuja nchini imeongezeka kwa sasa from 2010 up to nowNakumbuka sana je impact yake kuna tathimini imefanyika kujua hilo...au jamaa zetu walipiga tu na tutafukua kumbukumbu za nyuma tuone kama gharama zilikuwa za kweli au kuna watu walipiga ...na Nyarandu ndo huyooooo kambimbia kambi tutamfuata huko huko aliko kama ikithibitika kuna dosori.
Taarifa nzuri ya kumbukumbu....yawezekana....Jaribu kucheki hapa impact imeonekana kweli,maana utalii watanzania umetangazwa kwenye viwanja na timu kubwa za uingereza nadhani hata flow ya watalii kuja nchini imeongezeka kwa sasa from 2010 up to nowView attachment 909733View attachment 909736
Kagame aka PK ni shabki namba 1 wa Gunners, usishangae.View attachment 908900
Naipenda sana Arsenal toka kipindi kile cha akina Tom Adam na David Seaman........lakini huo ujumbe begani mwa Ozil mmmh ndo naona Wizara yetu ya Mali ya Asili na Utalii wanatakiwa kuufanyia kazi.
Hivi hii coment ina maana gani? Naionaga sana humu.😀😀😀😀