Kaizer chiefs hajafuzu kushiriki michuano ya kimataifa (kashika nafasi ya nane kwenye ligi yao)Kaizer Chiefs aliyefika hadi final yeye hayumo!
Vigezo gani hutumika kuzipata hizi team?
Yeah, kweli hawa jamaa hawakuwa na msimu mzuri kwenye ligi yao.Kaizer chiefs hajafuzu kushiriki michuano ya kimataifa (kashika nafasi ya nane kwenye ligi yao)
Kwa upande wa vigezo ni kwamba wanachukua point zilizoingizwa na timu husika ndani ya misimu mitano. Simba amepata nafasi kwasababu kacheza robo fainali mbili ndani ya misimu mitatu.Yeah, kweli hawa jamaa hawakuwa na msimu mzuri kwenye ligi yao.
Na manara tunamjumuisha au?Baada jitihada za muda mrefu hatimaye imewezekana Simba kufika tulipofika.
Ni kutokana na jitihada za jasho letu.
Hongera sana uongozi wa Simba kwa jitihada zenu
Kwa maana ya kwamba wataungana na washindi watakaoshinda kwenye hatua ya awali kucheza play off?Wataanzia hatua ya kwanza kwa kucheza nyumbani na ugenini.Baada ya apo kama watashinda ni makundi
Ndio wakina utopoloo fcKwa maana ya kwamba wataungana na washindi watakaoshinda kwenye hatua ya awali kucheza play off?
huyo huyo asipoangalia ataanza kulamba dusheleleUnamuongelea mlamba ‘Makalio’ ya SMG?
Mpira ni mipango, mikakati na pesa. Labda bahati itokee ila mpaka sasa nawaona bado hawako serious kwa chochote.Aiseeee
Wale wenzetu kuna uwezekano wasifike Makundi